Mishahara ya makampuni ya bia tanzania-sbl na tbl

HR CONSULTANT

Member
Jun 7, 2010
76
8
Wadau naomba msaada wa kujua viwango vya mishahara pamoja na marupurupu mengine kwa mtuu mwenye degree ya kwanza kwa makampuni ya bia tanzania serengeti breweries(sbl) na tanzania breweries limited (tbl).
Ahsante.
 
Mkuu mishahara inategemeana na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiwa. Mnaweza mkawa na level sawa ya elimu na mnafanya kazi moja still malipo yakawa tofauti depending on how you negotiated.
 
Naomba michango yenu wadau

Tatizo hujaeleza lengo lako nini baada ya kujua. Ivi unajua kama mshahara kwa police za kampuni huwa ni siri ya mwajiri na mwajiliwa? kama niko sahihi na wewe walijua hilo na Jina lako ni HR Consultant basi ningekushauri uende kwa ma Hr wa kampuni hizo utafanikiwa kiurahisi mno. otherwise hata kama utajibiwa litakuwa ni jibu ambalo haliwezo kutoa full picture kwani watu waweza kuwa kitengo kimoja na mishahara ikawa tofauti.

Vipi unaweza kutujulisha wewe hapo unapofanya kazi scale zenu ziko je?
 
Nashukuru mkuu kwa mawazo yako sahihi,nafanya market survey kama hr consultant ili mwishoe niaandae products (service) za kitaalamu kwaajili ya drinks industry ya tanzania.ila kama unavyojua research yoyote haitakiwi kua na source mmoja tu,lets say hrs wa makampuni yenyewe tu.
 
Wadau naomba msaada wa kujua viwango vya mishahara pamoja na marupurupu mengine kwa mtuu mwenye degree ya kwanza kwa makampuni ya bia tanzania serengeti breweries(sbl) na tanzania breweries limited (tbl).
Ahsante.

Hizi ni degree za chuo cha kata.
 
Wadau naomba msaada wa kujua viwango vya mishahara pamoja na marupurupu mengine kwa mtuu mwenye degree ya kwanza kwa makampuni ya bia tanzania serengeti breweries(sbl) na tanzania breweries limited (tbl).
Ahsante.

Kuwa na 1st degree hakuwezi kudetermine kiwango cha mshahara,maana inategemea pia ni degree ya nini + uzoefu.
 
unapoongelea graduates ni vema ukasema ni graduate wa chuo gani kwa mfano vyuo darja la kwanza kwa hadi miaka ya karibuni ni UDSM,MZUMBE, SUA,MUHIMBILI, NA DIT daraja la pili unapata TIA, AIA, IFM na daraja la mwisho wapo akina CBE, UDOM,KARIUKI na ST JOHN, MUSLIM YA MOROGORO na ST John
 
una utani na vyuo vya wa2 wewe!
 
unapoongelea graduates ni vema ukasema ni graduate wa chuo gani kwa mfano vyuo darja la kwanza kwa hadi miaka ya karibuni ni UDSM,MZUMBE, SUA,MUHIMBILI, NA DIT daraja la pili unapata TIA, AIA, IFM na daraja la mwisho wapo akina CBE, UDOM,KARIUKI na ST JOHN, MUSLIM YA MOROGORO na ST John
na waliosoma sussex, newcastle, makerere, usiu, oxford wako daraja gani??
 
Check na wadau wa apo watakujuzi ila gross ni kama kati ya 900000-1500000 has ukiwa na kaujuzi iyo nilimsikia kijana mmoja wa uko wakati anapiga chini kazi.Ila experience humatter zaidi
 
tuliposema watoto wasikaririshwe,mkatuona hamnazo,haya sasa angalieni eti huyu naye anakuja na RANKING ORDER ya vyuo bila hata supporting document!
Wewe kweli kayumba!
 
Back
Top Bottom