Naomba kujuzwa namna ya kupata kazi kwenye makamuni ya TBL, TCC, SBL

Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,096
708
Amani ya Bwana iwe nanyi

Naomba kuuliza, hivi haya makampuni ya SBL, TBL, TCC KONYAGI na mengineyo huwa wanaapply vipi kazi hata kama hawajatangaza nafasi? yeyote mwenye insight please.
 
Amani ya Bwana iwe nanyi

Naomba kuuliza, hivi haya makampuni ya SBL, TBL, TCC KONYAGI na mengineyo huwa wanaapply vipi kazi hata kama hawajatangaza nafasi? yeyote mwenye insight please.
Hizo kampuni kazi zao huwa zinatangazwa kimya kimya kwa staili ya internal vacancies.
Huwa hawatangazi kwenye magazeti wala mtandaoni.
Kwa hiyo ili upate kazi kwenye hizo kampuni ni lazima kwanza ujenge urafiki na wafanyakazi wa hizo kampuni ili nafasi zikitangazwa kwenye notice board zao wanakutaarifu,nafasi zao zinakuwa internal vacancies lakini hata watu wa nje wakiomba wanaitwa kwenye usahili na ukionesha competency wanakuchukua.
Ndio iko hivyo ndugu yapasa ujiongeze ukisubiria hadi uone kwenye gazeti utakesha sana.
 
Amani ya Bwana iwe nanyi

Naomba kuuliza, hivi haya makampuni ya SBL, TBL, TCC KONYAGI na mengineyo huwa wanaapply vipi kazi hata kama hawajatangaza nafasi? yeyote mwenye insight please.
Kwa TBL ni ngumu sana kupata kama hauna mtu anaefanya kazi pale mara nyingi kunakuaga na wale volunteer na vibarua Kwahiyo linapotoka tangazo huwachukua hao mara nyingi kuna miaka fulani nilikua pale nikajionea huo mchakato
 
Back
Top Bottom