Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,799
- 2,467
Daah, wanatembea vifua mbele me nikiona mtu anakwepa baadhi ya kodi yupo sawa tuHalafu kodi sasa duh!
Haya mafisadi ya TRA kila mwezi yanajigamba kuwa yameweka rekodi ya makusanyo kumbe ni unyonyaji mtupu. Mtu unakatwa karibia nusu ya mshahara na hela zote zinaishia kupigwa na mafisadi. Inauma sana!