Mishahara Tanzania ni midogo mno

Mishahara Tanzania ni midogo mno

Mfanya kazi huyo anatembelea STL bure
Anaingia Malls na Kariakoo halipi parking
anaingia Airport halipi kiingilio.
Anapewa mkopo atakavyo , bila collateral.
Anaenda kusoma na mshahara unaingia.
Anaingia kazini saa mbili au tatu na saa tisa anatoka wakati private ... !!
Wanauziana magari ya serikali ikiwa juu sana milioni 5, gari ya milioni 200.
Wanakopeshwa viwanja na kilipa taratibu.
ana bima ya afya pamoja na familia yake.
ana mafao akistaafu.

Mkuu, bima ya afya mtumishi anakatwa 50k x 12 sawa na zaidi ya laki sita kwa mwaka

Collateral ya Mkopo ni mshahara wako na permanent contract.

Lakini unaiongelea kama Incentivea flani hivi
 
Ni kweli kabisa. Mwezi uliopita nimepata ajira mpya, Sasa wakati wa kikao Cha utambulisho nikaahangaa mkuu wa hr anajisifia eti ofisi yetu ni kati ya ofisi inayowajali wafanyakazi wake, kufuatilia eti kima Cha chini gross kwa ofisa wa kawaida ni ml 5 na point. Upuuzi mtupu afu jitu linajisifu kabisa eti wanalipa vzr.
 
Habari za siku nyingi, Zamani nilikushauri ufanyiwe checkup ya kichwa na afya ya akili, je ulifanikiwa kufanya checkup ya kichwa na afya ya akili?
Gentleman,
ni muhimu kujifunza na kuchukua hatua muafaka my friends, ladies and gentlemen,

wewe mtu alikua mbunge kwa miaka 10 na kwa mshahara wa zaidi ya milioni 10 kila mwezi, lakini ameshindwa kujenga hata kanyumba kamaana tu ka milioni 20 kwao, sembuse wewe mwalimu wa shule ya msingi, eti unategemea mshahara kuendesha maisha yako na ya familia yako?

Gentleman,
unafikiri na kuwaza sawasawa kweli? :pedroP:
 
Mfanya kazi huyo anatembelea STL bure

Anaingia Malls na Kariakoo halipi parking

anaingia Airport halipi kiingilio.

Anapewa mkopo atakavyo , bila collateral.

Anaenda kusoma na mshahara unaingia.

Anaingia kazini saa mbili au tatu na saa tisa anatoka wakati private ... !!

Wanauziana magari ya serikali ikiwa juu sana milioni 5, gari ya milioni 200.

Wanakopeshwa viwanja na kilipa taratibu.

ana bima ya afya pamoja na familia yake.

ana mafao akistaafu.

Anaweza kuchukua advanced salary..

Kima cha chini kada rasmi ni milioni moja,makato yote take home ni900,000/
We dada nakuheshimu sana na hua napenda sana post zako humu JF ila kwenye hii comment yako umepotosha umma. Cha kwanza, kima cha chini cha mshahara serikalini sio milion 1. Nenda kaulize wale wafanyakazi wa masijala pale halmashauri wanalipwa sh ngapi. Cha pili hata mfanyakazi anaelipwa milion moja baada ya makato hapati hyo laki 9. Anapata chini ya laki 9. Kumbuka wengi wanaolipwa kwanzia milioo kuendelea ni wafanyakazi wenye degree. Sasa kumbka mtu huyu kasoma kwa mkopo wa HESLB. Kwa hyo kwenye mshahara wake anakatwa HESLB, PAYE,NHIF,PSSSF, TRADE UNION FEE. Je bado atabakiwa na hyo laki 9?
 
kupanga ni kuchagua gentleman,
na kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi.

karibu sana kwenye kilimo, ufungaji na biashara kazi ambazo hivi sasa watumishi wengi wa umma na sekta binafsi wanafanya vizuri zaidi, huku wakiendelea kuwatumikia wananchi kwa upande mwingine kwenye nafasi zao serikalini 🐒
Mkuu kumanyoko zako
 
Hautoshi hats kula nyama wiki mbili mfululizo.
Nyama kilo sh 14000
Michele kilo 3000 ule el classical
Mkaa 2000
Viungo 4000
Jumla 23000
Ukizidisha Mara 14 days hutoboi kwa mishahara ya bongo
23000*14=322000
Bado chai,
Kodi za nyumba
Nauli ya kazini
Hela ya watoto skuli
Matibabu
Umeme
Maji
Ushuru wa taka,kifupi watz wengi tuna unga unga mwana tu.
Nyama wiki mbili mfulilizo umekuwa mbwa?
 
  1. 1Mfanya kazi huyo anatembelea STL bure

2.Anaingia Malls na Kariakoo halipi parking

3. anaingia Airport halipi kiingilio.

4. Anapewa mkopo atakavyo , bila collateral.

5. Anaenda kusoma na mshahara unaingia.

6. Anaingia kazini saa mbili au tatu na saa tisa anatoka wakati private ... !!

7. Wanauziana magari ya serikali ikiwa juu sana milioni 5, gari ya milioni 200.

8. Wanakopeshwa viwanja na kilipa taratibu.

9. ana bima ya afya pamoja na familia yake.

10. Ana mafao akistaafu, KIINUA MGONGO NA KILA mwezi anapata

11. Anaweza kuchukua advanced salary..

12. Kima cha chini kada rasmi ni milioni moja,makato yote take home ni900,000/
No 12 siyo kweli
 
Chanzo mojawapo cha ukosefu wa mzunguko wa hela Tanzania, ni mishahara ni midogo mno.

Wafanyakazi wengi ambao wapo humu wapo kwenye wigo huo.
1. Mishahara ya serikali
2. Mishahara ya sekta binafsi.
3. Mishahara ya deiwaka
4. Mishahara ya wafanyakazi wa sehemu mbalimbali
5. Mishahara ya madeiwaka kwenye viwanda vya mabilionea wakubwa na wawekezaji wa ndani na nje wafanyakazi wanalipwa 5000 kwa siku hadi 10,000 kwa siku. Tajiri/mwekezajali akilipa nyingi Haizidi 15,000.
6. Mishahara ya wafanyakazi kwenye miradi mikubwa ya ujenzi ni midogo.

Mzunguko wa hela unakuwa mgumu.
Hapo watu wa serikali ungewatoa kwanza hao mishahara midogo posho mlima..

Shida ipo sekta binafsi yaani kama nchi tumefeli sana kuwategemea wahindi na wachina ndio washikilie secta binafsi yaani wao wenyewe kwao maisha magumu eti ndio waje watukomboe sisi huku uwongo labda kama tuweke sheria kali sana za usimamizi..
Nchi za Wenzetu wote waliohakikisha European na American ndio wawekezaji wakuu wananemeka wale jamaa wana mbingu yao wale ni watu haswa..

Ila hawa wawekezaji jamii za asia ni vitoto vya shetani kabisa.
 
Back
Top Bottom