Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,807
- 165,562
- Thread starter
-
- #41
Wewe sema halmashauri yenu ndo hailipa siyo wilaya zote bwana! Wengine tumeutumia tangu kwene sikukuu mpaka tumeanza kuangalia tarehe tena! Acha uzushi mkuu?
Anatumika kama kondom. Tunasubiri mshahara wa mwezi ujao siyu mwezi huu.anatumika vibaya, watu mishahara imeshakwisha ye ndo anaulizia.
Labda anafanya kazi serekali ya kuzimu.
mh!mimi niko sekta ya afya hakijaeleweka...CRDB !
We ndo umesema ukweli.
Sasa tatizo ni nini ?
Wala siko halmashauri ila niko kwenye taasisi moja kubwa na nyeti sana.
Sorry wadau nna swali. Eti ni benki gani nzuri kutumia kwa ajili ya kuchukulia mshahara ambapo pesa inawahi kuingia kwa watumishi wa umma kati ya NmB na Crdb ?

[/COLOR]Bavicha siku hizi imeshakua taasisi kubwa na nyeti sana?
Msimbishie alouliza...siku hizi mshahara unatoka kwa mafungu...mimi na mume wangu tuko sector tofauti; wakati mwingine mmoja anawahi kulipwa mwingine analipwa mwanzo wa mwezi unaofuata...serikali inachanga changa toka kwenye kodi kulipa mishahara hivyo naona inashindwa kulipa on time...
Ni dalili ya hatari sana kukopa mishahara
Kama wewe umepata mshahara jua kuna wengine bado wanasubiri
Wala siko halmashauri ila niko kwenye taasisi moja kubwa na nyeti sana.
Ni benki ya makabwela
huyu jamaa ni beki tatu( mfanyakazi wa ndani) wa Lema. Katoka mombasa hajalipwa na bosi wake LEMa
kwani wewe unafanya kazi za ndani kwa mwigulu au nape?
Kwani aliekutuma kuweka uchafu huu hapa hajakupa pesa?
Vumilia kidogo. TZ mwezi una siku 40 ikifika tarehe 35 mishahara yote itakuwa imelipwa.Jamani hii serikali imefilisika kiasi cha kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wa umma?
Leo tarehe 30/12/2013 hakuna mishahara!
Nini kinaendekea katika hili?