Haiko sawaMbona kwa walimu B1 ikipigiwa hesabu 23.3% ongezeko haliendani na ahadi ya mama,sema umeokoteza sehemu ukalibwaga humu!
Hata daraja E1 kazinguaHaiko sawa
Ajira mpya, sayansi 2020/ 2021Hawa wa 750000 walianza lini?
Daah sawa lambeni sukari mwayaviwango vya mishahara ya walimu Teachers salary scale range
TGTS B1 = 516,627/=
TGTS C1 = 653,490/=
TGTS D1 = 882,828/=
TGTS E1 = 1,159,020/=
TGTS F1 = 1,522,755/=
TGTS G1 = 1,972,800/=
TGTS H1 = 2,578,203/=
TGTS I1 = 3,536,300/=
Walimu wanachukuliwa kama sampo why
Viwango vya Mshahara sekta ya afya Nurses and Doctors
Nurses and Doctors with Certificate TSH 532,656
Nurses and Doctors Diploma TSH 838,440
Nurses Degree THS 1.8M
1.8 mkuu.? Unashangaa??..ni ujira mwingi na Mtu anaishu vema kabisakwa Tanzania
Piga unga wakutosha, maharage mengi, nyanya, vitunguu mwezi, nyama, dagaa, mwezi unakatika na chenji inabaji. Kwa 1.8 M
Asikubabaishe huyo yuko humu humu anakula shida. Anavuta pumzi ya moto.Huenda ikawa familia yako ipo Uingereza,Brussels,Luxembourg, NewZealand,Bangkok's, Vienna,Johannesburg,
Hakuna kitu kama hicho. Nasema hakuna !Tupoze moyo baada ya kutukanwa sana hapa.Viwango vipya mishahara serikalini 2022/2023
Filed in Articles by Ajira on May 14, 2022
New Government Salary Scales for Approved viwango Vipya mishahara serikalini 2022/2023 (walimu &afya) this salary scales start from July 2022
viwango vya mishahara ya walimu Teachers salary scale range
TGTS B1 = 516,627/=
TGTS C1 = 653,490/=
TGTS D1 = 882,828/=
TGTS E1 = 1,159,020/=
TGTS F1 = 1,522,755/=
TGTS G1 = 1,972,800/=
TGTS H1 = 2,578,203/=
TGTS I1 = 3,536,300/=
NB: B1 Salary begin teacher with certificate holder ,C1 Salary begin teacher with Diploma holder and D1 Salary begin teacher with holder Bachelor Degree
Viwango vya Mshahara sekta ya afya Nurses and Doctors
Nurses and Doctors with Certificate TSH 532,656
Nurses and Doctors Diploma TSH 838,440
Nurses Degree THS 1,208,340
Doctors with bachelor degree TSH 1,824,840
Wabongo bhana
Unaweza ukakuta umekaa hapo kwa mama ako huna lolote unajaza choo tuu halafu unakuja na huu upuuzi wako
Ni nani aliwaambia mshahara inaongezeka 23.3 kwa wote?Mbona kwa walimu B1 ikipigiwa hesabu 23.3% ongezeko haliendani na ahadi ya mama,sema umeokoteza sehemu ukalibwaga humu!
Pesa za kulipa zaidi mishahara zinatoka wapi?Nurse wa degree hatendewi haki kabisa yani 1.2M sasa umuhimu wa kusoma miaka minne uko wapi??
unataka maendeleo ya vitu huku watu wakiishi kama mashetani au hamuoni mfumuko wa bei kitaa??Pesa za kulipa zaidi mishahara zinatoka wapi?
Sasa hivi tu nusu ya makusanyo yanalipa mishahara, nusu inayobaki Kuna madeni ya serikali, operations na ndio ije ikumbukwe Maendeleo.
Hamuoni kuwa tutaendelea kuwa maskini zaidi ikiwa nusu ya makusanyo yanalipa mishahara?
Kusoma miaka 4 sio ishu.Nurse wa degree hatendewi haki kabisa yani 1.2M sasa umuhimu wa kusoma miaka minne uko wapi??
Sawa mamaa