Mishahara mipya kwa walimu na kada ya afya

Pesa za kulipa zaidi mishahara zinatoka wapi?
Sasa hivi tu nusu ya makusanyo yanalipa mishahara, nusu inayobaki Kuna madeni ya serikali, operations na ndio ije ikumbukwe Maendeleo.
Hamuoni kuwa tutaendelea kuwa maskini zaidi ikiwa nusu ya makusanyo yanalipa mishahara?
Kwani nchi ikiwa tajiri unapata mgawo?
 
1.8m Kwa mwezi unaishije na familia??

Nashangaa wazazi wangu waliwezaje kujenga kwa mshahara wa ualimu asee.
Hii ni kauli ya dharau kwa wanadamu wenzako! Kama unaona haiwezekani kabisa kuishi na familia kwa 1.8m, je wasio na mshahara wala biashara wanaishije na familia na tunao wengi tu mtaani!
 
Ndo ujue kwamba wazazi wako wana akili nyingi ila bahati mbaya wamezaa mtoto zero brain. Kwa 1.8 M huwezi kuishi? Kwa Tanzania hii?
Analeta dharau tu huyu!
Hii ni kauli ya dharau kwa wanadamu wenzako! Kama unaona haiwezekani kabisa kuishi na familia kwa 1.8m, je wasio na mshahara wala biashara wanaishije na familia na tunao wengi tu mtaani!
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1584589/vipi la mapenzi ushalisolve twambie kwa nini uliachwa solemba

Mnanipopoa asee....

Sikumaanisha mlivyoelewa
 
unataka maendeleo ya vitu huku watu wakiishi kama mashetani au hamuoni mfumuko wa bei kitaa??
Maendeleo ya vitu? Hiyo ndio tafsiri yako ya Maendeleo?
Kwa hiyo ni bora kulipa mishahara minono huku miundombinu ikiwa mibovu? Kinachowavutia Dubai, Marekani na nchi za ulaya ni nn Kama sio hivyo vitu?
 
Tupoze moyo baada ya kutukanwa sana hapa.Viwango vipya mishahara serikalini 2022/2023
Filed in Articles by Ajira on May 14, 2022
New Government Salary Scales for Approved viwango Vipya mishahara serikalini 2022/2023 (walimu &afya) this salary scales start from July 2022

viwango vya mishahara ya walimu Teachers salary scale range
TGTS B1 = 516,627/=
TGTS C1 = 653,490/=
TGTS D1 = 882,828/=
TGTS E1 = 1,159,020/=
TGTS F1 = 1,522,755/=
TGTS G1 = 1,972,800/=
TGTS H1 = 2,578,203/=
TGTS I1 = 3,536,300/=

NB: B1 Salary begin teacher with certificate holder ,C1 Salary begin teacher with Diploma holder and D1 Salary begin teacher with holder Bachelor Degree

Viwango vya Mshahara sekta ya afya Nurses and Doctors
Nurses and Doctors with Certificate TSH 532,656
Nurses and Doctors Diploma TSH 838,440
Nurses Degree THS 1,208,340
Doctors with bachelor degree TSH 1,824,840
Nilichokiona Leo nafikiri sio hiki
 
HA HA HA POLE
 
Hii ndio mishahara ya kuleta heshma kwa mtumishi,siyo huo ujinga walioufanya.
 
Back
Top Bottom