Mishahara mipya kwa walimu na kada ya afya

Mishahara mipya kwa walimu na kada ya afya

Ration allowance waweke kwa watumishi wote wa serikali bila kubagua,
Wote wanahitaji kuthaminiwa.
 
Ration allowance waweke kwa watumishi wote wa serikali bila kubagua,
Wote wanahitaji kuthaminiwa.

basi kwa waalimu iitwe jina jingine,maana ya hiyo kwa watu wa jeshini ni pesa ya chakula akiwa kazini.sasa mwalimu si anakula kwake??!
 
basi kwa waalimu iitwe jina jingine,maana ya hiyo kwa watu wa jeshini ni pesa ya chakula akiwa kazini.sasa mwalimu si anakula kwake??!
Kwani Mwalimu naye si anakuwa kazini?,iitwe hivyo hivyo kwamaana wote wana matumbo yanayosikia njaa.
Tena wakati mwalimu yupo anamfundisha na kumlea mtoto,askari yupo getini na bunduki begani siku nzima(funga na fungua)geti
 
Hii Nchi,Maaskri jeshi hawana kazi kabisa wanakula hela za bure huku kuna Walimu na Ma daktari wanapata shida sana.Kama kuna Askari jeshi humu aje aniambie kazi zake ni zipi kila siku na zina input gani kwa Taifa?
 
H
Tupoze moyo baada ya kutukanwa sana hapa.Viwango vipya mishahara serikalini 2022/2023
Filed in Articles by Ajira on May 14, 2022
New Government Salary Scales for Approved viwango Vipya mishahara serikalini 2022/2023 (walimu &afya) this salary scales start from July 2022

viwango vya mishahara ya walimu Teachers salary scale range
TGTS B1 = 516,627/=
TGTS C1 = 653,490/=
TGTS D1 = 882,828/=
TGTS E1 = 1,159,020/=
TGTS F1 = 1,522,755/=
TGTS G1 = 1,972,800/=
TGTS H1 = 2,578,203/=
TGTS I1 = 3,536,300/=

NB: B1 Salary begin teacher with certificate holder ,C1 Salary begin teacher with Diploma holder and D1 Salary begin teacher with holder Bachelor Degree

Viwango vya Mshahara sekta ya afya Nurses and Doctors
Nurses and Doctors with Certificate TSH 532,656
Nurses and Doctors Diploma TSH 838,440
Nurses Degree THS 1,208,340
Doctors with bachelor degree TSH 1,824,840
Ii mods mliipitisha?
 
Back
Top Bottom