Mishahara juu

Nyongeza ya mshahara mpya ni sh ngapi?

====================================

mshahara wa nani!? rais, housegirl, karani, hakimu, polisi n.k
 
wababa ni majangaaaaa, salary ya mwezi july imetoka lakini pesa iliyoongezwa ni elfu thelethini tuu.... Hongereni walimu.....
 
wababa ni majangaaaaa, salary ya mwezi july imetoka lakini pesa iliyoongezwa ni elfu thelethini tuu.... Hongereni walimu.....

Huu ni ungese wa hali ya juu...
Mwakani watakoma kuringa ny.oko zao,
Wanadhani wote tunashibia ESCROW AC pu.mbavu sana serikali dhurumishi!
 
Huu ni ungese wa hali ya juu...
Mwakani watakoma kuringa ny.oko zao,
Wanadhani wote tunashibia ESCROW AC pu.mbavu sana serikali dhurumishi!

Acha matusi bana me kwangu mbona wameongeza Tsh.112,000/= na nyingi sana
 
idadi kubwa ya walimu skary zao ni D1 so ongezeko ni 30,000 kasoro.... Kama hutaki kalale..... Walimu woyeeeeeeeeeee woyeeeeeee hoyeeeeeeee...........
 
Mimi wa ajira mpya April 2014 sijaona mshahara vp kuna wa ajira mpya aliyeingiziwa kwa kua inasemekana mishahara imeingizwa toka hazina haijapitia halmashauri
 
mkuu kwangu ni 72,500 ni kweli naapa kwa iman yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…