QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 699
naunga mguu na mkono hoja...Watu wengine huwa hamfikiri au sijui ni uboya tuu..., kwani akiongeza mshahara hiyo pesa ya kulipa mshahara ye anatoa wapi.., si anakupiga kodi laki anakuongeza mshahara 50k.., sasa si anajiongezea yeye.., vitu vitapanda bei na utannunua na hako kamshahara kako hela inarudi kwake.., wafanyakazi ni slaves (by definition).., watumwa kabisa..!!