Mishahara juu, kupanda Julai kwenye bajeti

Mishahara juu, kupanda Julai kwenye bajeti

Maneno hayo kama kazungumza juu ya mishahara ili tusahau alivyotutisha jeshi kuchukua nchi tuwaze mishahara.Tanzania uongo unalipa vizuri.Wazee wa afrika mashariki je watalipwaje? Madeni ya walimu nayo yamejaa ?
 
angepunguzo kodi PAYE hapo ningempongeza ukipandisha kodi nazo zinapanda vitu vinapanda ktk africa mashariki tz tunalipa kodi kubwa sana
 
wadibiti inflation ndo suluhu na si kupandisha mshahara. Mshahara ukipanda tu na bidhaa juu. Mchana Nzi na Usiku Mbu. Hakuna nafuu hapo
 
uwiiii wagalatia hawa...PAYE au pay as you earn....Ni mara 100 "shahara ukawa laki na nusu ila soda ukanunua sh30 and alike...Na nibora wakaka kimya ata km wanapandisha 5% ya mishahara kuliko kutangaza then inflation ya bidhaa ikawa 20% apo ni zaidi ya maumivu....
 
Wenye nyumba nao wametega sikio kwa makini,mda tu unamsikia mwenyenyumba anakwambia kodi imepanda.
Hakuna unafuu wowote hapo bora wangeacha tu kupandisha mshahara afterall bei ya bidhaa kama sukari,mchele,mahindi etc ilikua imeshatulia sana.
 
Rais Kikwete atangaza punde kuwa ataongeza mishahara kwa wafanyakazi wa umma katika bajeti ya mwaka huu, asema changamoto ni mapato
Wafanyakazi wa tanzania mpoo...sitarajii tena kuona maandamano ya wafanyakazi tz
Wakidai ongezeko la mshahara
Au ni chaga la macho waajiriwa wenzangu?

Ukiwa na mshahara wa laki saba akaupandisha mpaka laki saba na nusu si umepanda huo?
 
Mi naona ni changa la macho tu,mbona mwaka jan alisema hivyohivy mbon haikutekelezwa,ss hapo ndo wamefungulia wafanya biashara kupandisha bei za bidhaa kihorela,isije kua ni maneno tu ya kuweka watu saw
 
kilio kikubwa si ongezeko la mshahara mimi tatizo kubwa ni hiyo kodi kubwa
 
Kumbukeni deni la taifa Trilion 50, mnaongezewa toka wapi?

Formula ya kodi ipoje?
 
Rais Kikwete atangaza punde kuwa ataongeza mishahara kwa wafanyakazi wa umma katika bajeti ya mwaka huu, asema changamoto ni mapato
Wafanyakazi wa tanzania mpoo...sitarajii tena kuona maandamano ya wafanyakazi tz
Wakidai ongezeko la mshahara
Au ni chaga la macho waajiriwa wenzangu?

increment ni kila mwaka kwa watumishi wa serikali, swala ni ataongeza kiasi gani kwa kauli yake? hiyo ndio changamoto kuu!
 
Watu wengine huwa hamfikiri au sijui ni uboya tuu..., kwani akiongeza mshahara hiyo pesa ya kulipa mshahara ye anatoa wapi.., si anakupiga kodi laki anakuongeza mshahara 50k.., sasa si anajiongezea yeye.., vitu vitapanda bei na utannunua na hako kamshahara kako hela inarudi kwake.., wafanyakazi ni slaves (by definition).., watumwa kabisa..!!

Hili ni wazo la LEO. Unaongezwa 50,000.00 unakatwa 48.9 kodi ya mapato. Hapo ni sawa na kutma big gee kwa karanga za kuonjeshwa. Hivi siku hizi wafanyakazi mna furaha na ajira? kama sio wizi ndogo ndogo hamuwezi kuishi. Hivi sasa Tanzania wote tunaishi kwa udokozi ndio maana Tabia hii ikikua watoto wanaiiga alafu tunashangaa mtoto kaipata wapi , kumbe ya kuridhi kutoka kwa wazazi.
 
Mkuu sasa hivi 70% ya wafanyakazi hawawezi kuishi bila ujanja ujanja
Ni hatari kubwa kwa taifa hili
 
hongereni wafanyakazi sisi wengine bado tuko na bahasha ya kaki hatujui lini tutakuja kuingia huko
 
Hapa JK alikuwa anawatuliza wasidai katiba huru ya kuwajari ; wasijejiunga na UKAWA ikawa tabu kama kipindi kile cha uchaguzi. So mnakumbuka asilimia Fulani zilipungua kiasi cha kutaka kuanguka
 
bei ya vitu hupanda automatically pindi mishahara inapopanda na hivyo thamani ya pesa inakua chini.kupandisha mishahara sio solution,lakini mtoto akililia wembe...

...Ndo nchi yetu hii, unaongezewa kipato mia tatu ukirudi mtaani wanakuja kukudai mia nne
 
Hajawahi kusema kweli kuhusu wafanyakazi.....yeye na serikali yake huwa wanakimbilia mahamani usiku kuzuia madai ya wafanyakazi hasa waalimu. sasa wafanyakazi jipangeni vizuri kulianzisha mwakani kwani hiyo ahadi haitekelezeki, Fedha za wafanyakazi ndizo anazotumia Mwigulu Nchemba kwenda kutalii marekani,
 
Back
Top Bottom