Misemo ya Mpoki jamani!

hahahah...............tumbo linauma
kuna moja alisema ile tabia ya watu wa kigamboni wakishuka kutoka kwenye pantoni kukimbia baadaye watakuja kuwa wanariadha mahiri.................hafu hii ni kweli najiuliza sana kwanini uwa wanakimbia?
 
wanawah usafir sister c unajua usafr wa mabom center(mbagala na gomz)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom