Yanga oyee!!!...Simba zii..!! ndipo tulipopata jina la mtaa wa msimbazi, ilipo klabu ya Simba.Baja = Neno Baja lilikuja kuwa replaced na Neno Noma ambayo yote yakimaanisha Aibu au Haifai mbele za jamii
***** Mtozeni..
Fogo - Tajiri
Yanga makopo Simba Imara..
Zembwela=tahira
udongo ulaya = saruji (kwa vile ilitoka ng'ambo wakati huo hatukuwa na kiwanda cha saruji)
Unamaanisha Mkono wa Sweta?? au yule Star wa Kihindi Mr Govinda?Amevaa sox-Ana govi.
Kula kona
mtu mwenyewe andunje
jaa pipo