Misemo ya kichaga!

Misemo ya kichaga!

Ngafuma mchemeni sasaifi--nimetoka shambani sasa hivi.
shumbi na mafucha na maru a anyama nelocha looi-- chumvi na mafuta na ndizi za nyama ni tamu sana.
Ruva kakunda ngama---Mungu akipenda kesho.
 
ulalu sandu wandu wakeri kuleshi lokuyana kura ulalu. labda luwere lukuyane sikukuu hiyo icha disemba (Noeli). Lukokunda ma lushinje shimburu shiwi lunyo na kisusio kapisa.

eehee atso'ng mbony.......ngenyo siku yo mpaka ngipfuluke pfulu
 
Upuuzi tu huu, haitusaidii katika kujenga nchi bana.
 
Aika wanawama,ngakunda kweli elonyia mudeda kichaka kunu jf,Am new in here
 
Unafurahi ee?umeanzisha na vineno viwili tu ukatuachia wengine.Na wewe mbona sikusikii?Hebu changia haraka!Kulawe cha tondo fo neewe!

Nkiki se Meku! Ebwna unapanda mndenyi Desemba mbona hujajibu? yaani hapa ndio nipo kwenye pilika za kununua matairi, tarehe 20 shaaaaaaa! Mochi mochi baana (Morang')
 
morewoomi kunu olaney ilu eee,sha iiika fooo meku akwa
 
Kule kanisani mwika: Mndu kangikunda naware rero Lyako...
 
Upuuzi tu huu, haitusaidii katika kujenga nchi bana.

we toka umeanza kujenga nchi umefikia wapi....watu wengine mkoje....kwa hiyo tukae tu tukifikiria nchi.......p****afu....nchi hii imeshauzwa kwa taarifa yako....we ni bidhaa tu
 
we toka umeanza kujenga nchi umefikia wapi....watu wengine mkoje....kwa hiyo tukae tu tukifikiria nchi.......p****afu....nchi hii imeshauzwa kwa taarifa yako....we ni bidhaa tu

Deea nashi ma.
 
Nkiki se Meku! Ebwna unapanda mndenyi Desemba mbona hujajibu? yaani hapa ndio nipo kwenye pilika za kununua matairi, tarehe 20 shaaaaaaa! Mochi mochi baana (Morang')

Luukuwedea ko hamu kunu muchi.Kuche luurya machubuku!tihi!
 
kuna rafiki yangu alikuwa na uhusiano na mwanamke wa kichaga,alikuwa ananimabia anashangaa sana na matumizi ya neno yesu wangu,huyo binti hulitumia mara nyingi,ukimshika shika asema yesu wangu,akinogewa wakati wa tendo yesu yesu sijui wenzetu wanalionaje hilo jina
 
Back
Top Bottom