Misemo ya kichaga!

mbon ta moshi: wandu wakehema memba na soko kipind cha ihemya na iweka mbolea/urea nyira wandu
 
Tatizo ni kwamba wachagga hawana lugha moja. Kichagga cha Marangu tofauti na Kibosho, Rombo, Machame nk. Labda mtu anapoandika atuambie ni kichagga cha wapi
Mwenyewe nafahamu cha Rombo sasa hapa naelewa ndio kujibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom