bombah987 JF-Expert Member Nov 20, 2011 218 51 Oct 27, 2012 #41 ukimuona kobe juu ya mti jua kapandishwa
muuza ubuyu JF-Expert Member Nov 23, 2010 3,511 3,477 Oct 27, 2012 #42 Silaha pesa bunduki mzigo! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Arushaone JF-Expert Member Mar 31, 2012 15,136 13,258 Oct 27, 2012 #44 Bishanga said: nilikuwa ujiji wabaya wangu kina erickb53 wamezidi kusongea anga zangu. Click to expand... Bishanga unazeeka vibaya? Huyo Erickb53 wa wapi huyo?? Sisi wa kwetu anaitwa Erickb52 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bishanga said: nilikuwa ujiji wabaya wangu kina erickb53 wamezidi kusongea anga zangu. Click to expand... Bishanga unazeeka vibaya? Huyo Erickb53 wa wapi huyo?? Sisi wa kwetu anaitwa Erickb52
Arushaone JF-Expert Member Mar 31, 2012 15,136 13,258 Oct 27, 2012 #45 Kongosho said: a short man is not a boy Click to expand... Konnie umesongesha nje ya mstari!! Alichosema Bishanga ni misemo ya kibongobongo na siyo misemo ya kizunguzungu. Kongosho Bhana............... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kongosho said: a short man is not a boy Click to expand... Konnie umesongesha nje ya mstari!! Alichosema Bishanga ni misemo ya kibongobongo na siyo misemo ya kizunguzungu. Kongosho Bhana...............
Negrodemus JF-Expert Member Dec 30, 2010 2,316 677 Oct 29, 2012 #46 makali ya msumeno hayamenyi kiazi