Misamiati itumikayo vyuoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misamiati itumikayo vyuoni

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Maganga Mkweli, Aug 30, 2012.

 1. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  wanajamii habari zenu , natumaini ni wazima wa afya tele... pili napenda kuwapongeza wale wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu
  kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza ningeomba wanajamii tujikumbushe misamiati na slang zinazotumika kwenye mavyuo hii itaoa msaada kwa wenzetu wanaojiunga sasa kuwa na awareness na hayo maneno au hiyo misamiati
  binafsi nimepita pale MLIMANI aka The Hill aka Hekima ni uhuru... UDSM
  baadhi ya maneno niliyokuwa nayasikia na mengine kuyatumia kipindi nasoma ni kama
  MADESA/DESA-hili neno lina maananisha materials ya kujisomea, notices,tutorial,seminar paper ,handout, nk
  KUNJI-hili neno maarufu sana kwa walewapigania haki wanalijua sana maana ake ni MGOMO
  KIMEO/SAP- supplimentary (kurudia mitihani kwa kutovuka kiwango kilichowekwa)
  DISCO-DISCONTINUE (kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu za kitalumaa /kufeli)
  CONFERENCE-kipindi cha supplementary examinations.
  MDIGRII- eneo lenye miti mikubwa karibia na utawala mlimani sisi usajili tulifanyia pale..
  REV SQUARE -revolution square eneo karibia na cafteria one na two mlimani (udsm) ambapo mikutano mingi kipindi cha kudai haki ufanyika
  CHAPEL-kanisa litumikalo kuabudu na wakristo wa madhehebu mbalimbali liko njia ya kuelekea HALL SIX na SEVEN na changanyikeni
  MSAUD-msikiti chuo kikuu mlimani/pia ni jumuiya ya waislamu mlimani..
  RB-RICE and beans wali maharage..
  BINARY/PASI NDEFU/LAMPARD/ONE ZERO ONE /-KULA MLO MMOJA AU MIWILI KUTOKANA NA UCHUMI
  BOOM-pesa ya kujikimu kwa ajili ya chakula na malazi
  VIMBWETA -madawati / ya zege ya kusomea COET wanaita SLAB
  MNAWEZA KUONGEZA MENGINE KUTOKANA CHUO ULICHOPO NA KIPINDI ULICHOKUWA UNASOMA

  NAWASILISHA
  UPDATE ZA WADAU
   
 2. Hansy wa East

  Hansy wa East JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 449
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Ahsante sana me nimeipenda RB Mdigrii na Msaud.
   
 3. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  haha ndugu yangu achana na RB ni muokozi zile wiki zetu boom likaribia kukata dada zetu mwanzoni mwa semista wengi wao NI vyepe kwenda mbele IKIFIKA WIKI ZETU WOTE NI FLAT RATE RB kwenda mbele.. wiki za mwanzo chuo raha KILA MSOSI UNASUSHIA NA SODA
   
 4. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  mi kitu cha
  BINARY/PASS NDEFU imekaa njema
   
 5. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  mwanzoni mwa semister MABASH/party welcome first year....
   
 6. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseeee babaangu shato pori nayo inausika

  nawasilisha
   
 7. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  WAZEE WA MABIBO NA SP.. acha kamanda
   
 8. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa hali hii najiandaa kua napiga pasi ndefu tu...
   
 9. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,696
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Pentose--Sugar
  Mshika Pembe---!!!!!!
  Symbiosis....
   
 10. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  hehehe kuna kitu cha MASOMONI...........
   
 11. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  kitu ya ONE ZERO ONE inanihusu saaana
   
 12. k

  kisunguniero Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  teh teh teh!! Kutoka udom kuna hizi tena!!
  MJAC/ MJASI- mama ntilie wanaouza chakula tofauti na cafteria
  NYAVU - supplimentary
  Mzigo- carry over
  NG'OX- colleg ya education (ts kifup cha jina la kijj near colleg ya education- Ng'ong'ona)
   
 13. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ha ha ha..Mitaa maarufu
  UDSM
  YOMBO NA KARIAKO0
   
 14. r

  robert komba Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeipenda LAMARD AU PASI NDEFU
   
 15. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mshika Pembe aka kisolvio
   
 16. Timo

  Timo Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha , kitu CHAPEL.
   
 17. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  WAKATA NYANGA wazee wa misuli mirefu kule COET . S BLOCK A9 A4...
   
 18. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,213
  Likes Received: 10,557
  Trophy Points: 280
  1.Simbi ( kuchabo paper)
  2.kupigwa Exile( wanaroom msepa wote kama mshakaji kaja na mtoto.
  3. kupiga Open.( kutokuhudhuria lecture hapa unapiga msuli room)
  Hii ni kwa Muhas sijui vyuo vingine.
   
 19. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  mwanangu umekubusha mbali sana mie wakati niko first nilipigwa EXILE na fourth fulani acha tu tehe tehe .. hasa wiki za kwanza exile aziepukiki
   
 20. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  NGWINI mwanafunzi asiye ENGINEER mlimani hili hata makamu mkuu wa chuo prof mkandara anajua kuwa yeye ni ngwini
   
Loading...