Misaada: To hell with it!!

Misaada: To hell with it!!

Ndo maana nasema kwamba ‘tunaweza’.

Tatizo tu ndo sijui ni nini hasa...hatujiamini? Hatuna ubunifu? Hatuna akili?

What is lacking in us?

Ccm waliopo madarakani ndio chanzo ya yote haya. Misaada walipokea wao na wakaitumia walivyoona wao. Leo hii wanaokuja na proper investments zinazoweza kuleta mabadiliko ndio hao wanaofanyiwa vitimbi hadi wanajiondokea. Ni upumbavu wa hali ya juu kwa nchi yenye unskilled labour kuzuia skilled labour (mfano waalimu) kutoka nje HALAFU WATU HAO HAO WANARUHUSU WACHEZA MPIRA AMBAO HAWAJAWAHI HATA KUCHEZEA TIMU ZA MATAIFA WATOKAPO. THIS IS GROSS IDIOCY OF THE HIGHEST ORDER.
 
Sasa mkuu tunapewa misaada kwa miongo zaidi ya mitano sasa na maisha bado magumu,imagine wakianza kutunyima sasa si ndio tutaishi kama mashetani..maana tunabebwa hatubebeki je tutaweza kujibeba? Angalau waendelee kutubeba tu labda ipo siku tutabebeka.
Tutapaya adabu ya kujibidisha kufanya kazi kama vile sasa binamu yake Nyani ngabu anavyotupelekesha
 
Kumbuka misaada hiyohiyo inaliwa na viongozi waliopo madarakani.

Siungi mkono tuwe tunategemea misaada, ila tukiangalia kwa umakini tutaona kwamba tatizo la Afrika ni viongozi wa Afrika wenyewe.

Unakuta liwaziri lenye akili kabisa linasaini mkataba wa kipumbavu kabisa kiasi kwamba hata mtu ambae hajawahi kupita darasani hawezi kufanya hivyo
Ndiyo hao viongozi wanapendwa na USA na EU. Kuna mahali wapinzani wananyanyasika kama Uganda na Cameron hata Misri? Pesa ngapi zinapelekwa huko. Vilaza wengi humu wanadhani wazungu wanawaonea huruma wakaishi huko kwao wawajue wasivyotithamini.
 
Back
Top Bottom