johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,623
Unakikumbuka kirungu cha padiri!Utakuwa ushakojozwa wewe!
Vipi, ilikuwa tamu?
Unakikumbuka kirungu cha padiri!Utakuwa ushakojozwa wewe!
Vipi, ilikuwa tamu?
Unakikumbuka kirungu cha padiri!
Ngabu kigoma cha padiri!Kicheko chako ni kiashiria tosha ume enjoy utamu wa Ngosha!
Ngabu mtoto wa sande skuli!Hebu simulia basi Ngosha alivyokufikisha...
Ngabu kigoma cha padiri!
Ngabu mtoto wa sande skuli!
Wanatunyima kwasababu hatutaki kukosea wakati wa kujamiiana. Hizo zingine ni icing tu kwenye keki.Ni aibu kubwa sana kunyimwa misaada kwa sababu za uhalifu dhidi ya ubinadamu , hii maana yake ni kwamba mnanyimwa misaada kwa vile viongozi wenu ni wakatiri mithili ya wanyama wa mwituni , ni fedheha kubwa sana kwa nchi
Hahahaa..... Haya mambo ngabu ulianzishiwa kitambo!We ni kigoma cha Urugwai teh teh teh
Hahahaa..... Haya mambo ngabu ulianzishiwa kitambo!
........ngabu uliponzwa na mitumba ya misheni siyo kosa la walezi!Wewe toto ya Magufuli...
Hahahaa..... Unashea na msumbusi sasa!Kigoma cha urugwai
Hahahaa..... Unashea na msumbusi sasa!
Sema sasa, what's should be done? Unabwabwaja tu lkn hutoi ufumbuzi. Bure kabisa.Ni fedheha sana kuendelea kukinga mikono ya misaada miaka karibu 60 ya kuwa huru.
Huu ni mtazamo wa kizungu. Uwa nawaambia watu demokrasia will never work out with Africans. Siyo utamaduni wetu.Kwanza nakataa kusema hatuendelei, hapo u kipofu kweli wewe..! Sitaki kusema tumeendelea kwasababu ya misaada au la..! Hoja yangu ya msingi ni suala la umhimu wa hii misaada katika kuchagia maendeleo..!
Wewe kwako neno MAENDELEO inawezekana unalichukulia kama VITU (materialism) tu.
Ila kimsingi maendeleo ni pamoja na kuheshimu haki za binadamu, utawala bora, demikrasia, uhuru wa kuongea na kujieleza bila kusahau ustawi wa jamii za wanyonge/makundi maalum kama walemavu, wamama na watoto.
Sasa hoja yako inaweza kuwa ya msingi ila sasa ina maana hatuwezi kukataa misaada bila kuvunja haki za binadamu, bila kuvuruga demokrasia, bila kuathiri uhuru wa watu kuongea, kuna mambo mengine tunajitakia ila ukumbuke jumuiya ya kimataifa haishii kukunyima misaada wanaweza kwenda mbali na kukuwekea vikwazo vya kiuchumi na pengine kama ni utawala wa mtu mmoja dhalimu kuondolewa kwa mizengwe yeyote.
Mimi si muumini wa misaada ila sasa hawa mabeberu si kwamba wanatuonea tu ila ipo hoja ya msingi hasa juu ya masuala ya kijamii serikali ijitafakari. Uwezi kushindana na dunia kwa kuitangazia ubabe kikubwa turudi katika matumizi ya akili na kistratejia namna ya kukwepa misaada maana kimsingi hawaji kutubembeleza ili tupate misaada ni ujinga wetu na ufisadi na kukosa utu ndiyo matokeo yake.
Hahahaa..... Uko kwenye kumbukumbu za Roma!We unashea na Janet Magufuli
🤣🤣🤣
kwenye bajeti ya maendeleo Tanzania/own source tunatoa ngapi? hao wazungu wanatoa ngapi.tuanzie hapoKumekuwepo na taarifa kuwa eti tumenyimwa misaada na nchi za jumuiya ya Ulaya, Marekani, na sehemu zingine.
Sababu kuu inayotajwa ni kuzorota kwa hali ya haki za binadamu nchini chini ya huu utawala wa Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli [huyu ngosha ana majina mengi kweli...mara Tingatinga...sijui Sizonje....but I digress].
Nachotaka kuzungumzia hapa si hayo madai ya kuzorota kwa hali ya haki za binadamu. Hiyo ni hoja ya siku ingine.
Hapa nataka kuzungumzia huu upumbavu wa misaada.
Kwa tunaofahamiana humu tokea 2004/2005/ 2006/ na 2007, watakuwa wanakumbuka msimamo wangu kuhusu hii misaada ya maendeleo ambayo taifa letu limekuwa likipewa tokea nianze kupata/ kupatwa na fahamu.
Kwa maneno mengine, ni muda mrefu mno sasa tumekuwa tukipewa hii misaada ya maendeleo.
Kilicho cha ajabu kwangu ni: mbona bado tu hatuendelei? Hiyo si inaitwa misaada ya maendeleo? Miongo na miongo tunapokea hiyo misaada lakini ukiangalia maendeleo yenyewe hakuna.
Mbaya zaidi, tuna idadi kubwa tu ya watu [kwa makadirio yangu] ambao wanaipenda sana hii misaada ya maendeleo. Yaani wanapenda sana sisi kupewa hii misaada na hizo nchi.
Sasa ngoja nirudie ambacho nimekuwa nikikisema miaka yote hii ya uwepo wangu hapa JF na huko kwingineko.
Siipendi hii misaada. Siitaki kabisa. Naamini imetulemaza sana hadi kufikia hatua ya kudhani bila kupewa hiyo misaada basi hatutoweza kuendelea.
Naamini kabisa tunaweza kuendelea kiuchumi bila hata hiyo misaada isiyo na msaada wowote. Ni kiasi cha kuamua tu na kubadili mindset yetu kutoka kwenye ‘can’t do’ kwenda kwenye ‘can do’.
Tuna hali ya kujiona hatuwezi kufanya mambo flani flani bila ya kusaidiwa na flani. Mara zote huwa najiuliza, hivi hao wanaotupa hiyo misaada, wao nani aliwasaidia?
Na sizungumzii misaada ya hapa na pale wakati wa majanga ya kiasili, vita, au mazingira fanani. Kwa kawaida binadamu huwa tunapitia changamoto na hatuna budi kusaidiana saidiana pale inapobidi.
Hapa nazungumzia hii misaada isiyoisha ambayo huitwa misaada ya maendeleo.
Siitaki. Siipendi. Naichukia kwa hisia kali sana. Na nasema watunyime tu hiyo misaada ili tuamke toka kwenye huu utegemezi wa kipumbavu tulionao.
Bila hiyo misaada yao tutaangamia au?
Gonga ‘Like’ kama unakubaliana nami.