Kwahiyo wewe kupewa misaada kwako ni jambo la heshima sana kuliko nchi kujitegemea yenyewe.Ni aibu kubwa sana kunyimwa misaada kwa sababu za uhalifu dhidi ya ubinadamu , hii maana yake ni kwamba mnanyimwa misaada kwa vile viongozi wenu ni wakatiri mithili ya wanyama wa mwituni , ni fedheha kubwa sana kwa nchi
Bandiko lako lina nia nzuri sana, lakini haliwezekani kamwe kwa tanzania kwani serikali zote awamu ya 1-5 hawataki kuona tanzania inajitegemea maana wanaamini hilo likiwezekana na wao hawatakuwa madarakani. Halaf nchi kujitegemea ni mchakato pevu na wa miaka mingi sana na consistency inahitajika na akili kubwa pia zinahitajika. Sasa ccm kila wakileta rais mpya anakuja na yake, nchi haina mipango bali kuna mipango ya marais wa ccm, hivi hapo kuna kujitegemea kutatoka wapi?? Hiyo china ambayo ccm hupenda kujinasibu nayo kwa zaidi ya miaka 50 kumekuwa na strict consistency kwenye ujenzi wa uchumi wao.
Kwahiyo wewe kupewa misaada kwako ni jambo la heshima sana kuliko nchi kujitegemea yenyewe.
usijifanye hujaelewa .Kwahiyo wewe kupewa misaada kwako ni jambo la heshima sana kuliko nchi kujitegemea yenyewe.
UTHUBUTU that’s all!Ndo maana nasema kwamba ‘tunaweza’.
Tatizo tu ndo sijui ni nini hasa...hatujiamini? Hatuna ubunifu? Hatuna akili?
What is lacking in us?
UTHUBUTU that’s all!
We menyewe ni mkimbizi ughaibuni, unaishi kwa kubeba mabox, au umeoa bibi kizee ili upate uhali,Kumekuwepo na taarifa kuwa eti tumenyimwa misaada na nchi za jumuiya ya Ulaya, Marekani, na sehemu zingine.
Sababu kuu inayotajwa ni kuzorota kwa hali ya haki za binadamu nchini chini ya huu utawala wa Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli [huyu ngosha ana majina mengi kweli...mara Tingatinga...sijui Sizonje....but I digress].
Nachotaka kuzungumzia hapa si hayo madai ya kuzorota kwa hali ya haki za binadamu. Hiyo ni hoja ya siku ingine.
Hapa nataka kuzungumzia huu upumbavu wa misaada.
Kwa tunaofahamiana humu tokea 2004/2005/ 2006/ na 2007, watakuwa wanakumbuka msimamo wangu kuhusu hii misaada ya maendeleo ambayo taifa letu limekuwa likipewa tokea nianze kupata/ kupatwa na fahamu.
Kwa maneno mengine, ni muda mrefu mno sasa tumekuwa tukipewa hii misaada ya maendeleo.
Kilicho cha ajabu kwangu ni: mbona bado tu hatuendelei? Hiyo si inaitwa misaada ya maendeleo? Miongo na miongo tunapokea hiyo misaada lakini ukiangalia maendeleo yenyewe hakuna.
Mbaya zaidi, tuna idadi kubwa tu ya watu [kwa makadirio yangu] ambao wanaipenda sana hii misaada ya maendeleo. Yaani wanapenda sana sisi kupewa hii misaada na hizo nchi.
Sasa ngoja nirudie ambacho nimekuwa nikikisema miaka yote hii ya uwepo wangu hapa JF na huko kwingineko.
Siipendi hii misaada. Siitaki kabisa. Naamini imetulemaza sana hadi kufikia hatua ya kudhani bila kupewa hiyo misaada basi hatutoweza kuendelea.
Naamini kabisa tunaweza kuendelea kiuchumi bila hata hiyo misaada isiyo na msaada wowote. Ni kiasi cha kuamua tu na kubadili mindset yetu kutoka kwenye ‘can’t do’ kwenda kwenye ‘can do’.
Tuna hali ya kujiona hatuwezi kufanya mambo flani flani bila ya kusaidiwa na flani. Mara zote huwa najiuliza, hivi hao wanaotupa hiyo misaada, wao nani aliwasaidia?
Na sizungumzii misaada ya hapa na pale wakati wa majanga ya kiasili, vita, au mazingira fanani. Kwa kawaida binadamu huwa tunapitia changamoto na hatuna budi kusaidiana saidiana pale inapobidi.
Hapa nazungumzia hii misaada isiyoisha ambayo huitwa misaada ya maendeleo.
Siitaki. Siipendi. Naichukia kwa hisia kali sana. Na nasema watunyime tu hiyo misaada ili tuamke toka kwenye huu utegemezi wa kipumbavu tulionao.
Bila hiyo misaada yao tutaangamia au?
Gonga ‘Like’ kama unakubaliana nami.
Huyo Erythrocyte ni wa kuonea huruma. Kutwa anaombea mabaya yawakute watanzania ili tu ionekane uongozi wa rais Magufuli umeshindwa. This is very low. Anafanya hata wenye hoja za msingi waonekane wajinga.Kwahiyo wewe kupewa misaada kwako ni jambo la heshima sana kuliko nchi kujitegemea yenyewe.
ni aibu sana kwa demu kuwa muongo , badala ya kunishutumu mimi kwanini usimshutumu aliyesema akiwa Rais wananchi watalimia meno ?Huyo Erythrocyte ni wa kuonea huruma. Kutwa anaombea mabaya yawakute watanzania ili tu ionekane uongozi wa rais Magufuli umeshindwa. This is very low. Anafanya hata wenye hoja za msingi waonekane wajinga.
bila kubeba box atakufa kwa njaa na kiu.Bado unaishi kwa hao watoa misaada?
Ili tuwe tunaminya zaidi haki za watu/binadamu yaani unajua ni sawa na nini uwe unakaa kwa baba ako alafu mkienda kupalilia shamba wewe ukakata maharage akakuchapa wewe ususe kula ndo mnachokitaka.Yaweza kuwa ni baraka iliyojificha.
Ndo tuanze kujitegemea sasa.
Halafu, hata hao watoa misaada rekodi zao za haki za binadamu zina mushkeli vilevile...
Na huo pia Ni msaadaAgiza supu hapo ulipo.
Au kama vipi agiza Konyagi ya kupimiwa halafu mwambie weita alete bili kwangu.
Apunguze na misafara ya viongozi wa kiserikali itangazwe na marufuku ya kuhama vyama tuna incur costs kubwa kweli kwenye chaguzi ndogo, toa wabunge wa viti maalumu wote.Mkuu umenena ,JPM na serikali yake wakomae hadi kieleweke .Kwa kuanzia nashauri aanze kupunguza matumizi ya serikali yasiokuwa na tija mfano matumizi ya magari aina ya V8 ,matumizi ya bunge kwa kufuta wabunge waote wa viti maalum na pua kupungiza allowance zao ,Mikopo ya elimu ya juu utolewe kwa wanafunzi wanasoma masomo yq sayansi tu na si vinginevyo,zoezi la kurasimisha ardhi lifanyike hadi vijijini.
Ngabu usikate tawi ulilokalia hau wazungu ndio wamekupakata huko uliko!Kumekuwepo na taarifa kuwa eti tumenyimwa misaada na nchi za jumuiya ya Ulaya, Marekani, na sehemu zingine.
Sababu kuu inayotajwa ni kuzorota kwa hali ya haki za binadamu nchini chini ya huu utawala wa Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli [huyu ngosha ana majina mengi kweli...mara Tingatinga...sijui Sizonje....but I digress].
Nachotaka kuzungumzia hapa si hayo madai ya kuzorota kwa hali ya haki za binadamu. Hiyo ni hoja ya siku ingine.
Hapa nataka kuzungumzia huu upumbavu wa misaada.
Kwa tunaofahamiana humu tokea 2004/2005/ 2006/ na 2007, watakuwa wanakumbuka msimamo wangu kuhusu hii misaada ya maendeleo ambayo taifa letu limekuwa likipewa tokea nianze kupata/ kupatwa na fahamu.
Kwa maneno mengine, ni muda mrefu mno sasa tumekuwa tukipewa hii misaada ya maendeleo.
Kilicho cha ajabu kwangu ni: mbona bado tu hatuendelei? Hiyo si inaitwa misaada ya maendeleo? Miongo na miongo tunapokea hiyo misaada lakini ukiangalia maendeleo yenyewe hakuna.
Mbaya zaidi, tuna idadi kubwa tu ya watu [kwa makadirio yangu] ambao wanaipenda sana hii misaada ya maendeleo. Yaani wanapenda sana sisi kupewa hii misaada na hizo nchi.
Sasa ngoja nirudie ambacho nimekuwa nikikisema miaka yote hii ya uwepo wangu hapa JF na huko kwingineko.
Siipendi hii misaada. Siitaki kabisa. Naamini imetulemaza sana hadi kufikia hatua ya kudhani bila kupewa hiyo misaada basi hatutoweza kuendelea.
Naamini kabisa tunaweza kuendelea kiuchumi bila hata hiyo misaada isiyo na msaada wowote. Ni kiasi cha kuamua tu na kubadili mindset yetu kutoka kwenye ‘can’t do’ kwenda kwenye ‘can do’.
Tuna hali ya kujiona hatuwezi kufanya mambo flani flani bila ya kusaidiwa na flani. Mara zote huwa najiuliza, hivi hao wanaotupa hiyo misaada, wao nani aliwasaidia?
Na sizungumzii misaada ya hapa na pale wakati wa majanga ya kiasili, vita, au mazingira fanani. Kwa kawaida binadamu huwa tunapitia changamoto na hatuna budi kusaidiana saidiana pale inapobidi.
Hapa nazungumzia hii misaada isiyoisha ambayo huitwa misaada ya maendeleo.
Siitaki. Siipendi. Naichukia kwa hisia kali sana. Na nasema watunyime tu hiyo misaada ili tuamke toka kwenye huu utegemezi wa kipumbavu tulionao.
Bila hiyo misaada yao tutaangamia au?
Gonga ‘Like’ kama unakubaliana nami.
Hili jipya sasa!!Ulinipelekaga wewe huko?