Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 770
- 1,898
Usiwe mtu wa kupokea misaada/zawadi hovyo hovyo, huwa inatengeza mazingira ya kutawaliwa na kumpa mtu nguvu ya maneno dhidi yako ikitokea siku mmetofautiana.
Misaada/vya bure huwa inaleta unyonge unakuwa huna ujasiri kwa mhisani wako.
Jitahidi kwenye maisha yako kujitengenezea mifumo ya kujitegemea hata kwa kidogo ulichonacho itakulindia heshima yako.
Hii ipo katika ngazi ya mtu binasfi mpaka kitaifa. Taifa lolote ambalo ni tegemezi huwa halina misimamo yake.