Misaada au zawadi huwa inaleta Unyonge kwa mtu au Taifa

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
726
1,850
Usiwe mtu wa kupokea misaada/zawadi hovyo hovyo, huwa inatengeza mazingira ya kutawaliwa na kumpa mtu nguvu ya maneno dhidi yako ikitokea siku mmetofautiana.

Misaada/vya bure huwa inaleta unyonge unakuwa huna ujasiri kwa mhisani wako.

Jitahidi kwenye maisha yako kujitengenezea mifumo ya kujitegemea hata kwa kidogo ulichonacho itakulindia heshima yako.

Hii ipo katika ngazi ya mtu binasfi mpaka kitaifa. Taifa lolote ambalo ni tegemezi huwa halina misimamo yake.
 
Kwa ngazi ya zawadi/ mtu kwa mtu.
Yan umeninunulia chai asubuhi, sijui umenipa ka eet sum more ndio mchana unilazimishe nikufanyie mikazi yako? Labda sio mimi
 
Ndiyo maana mama alikuwa akinikataza kupokea pokea vitu vya watu na kula Kwa watu .

Mostly Jambo likiwa win win inakuwa vyema zaidi
Tunapokea na lolote hutufanyi. Umenikuta idle nitasupport, umenikuta occupied nakuchinjia baharini vizuri tu.
 
Kabisa haufai kuuchekea ni wakuupiga vita
Yaani sipendi nchi au mtu anaetegemea watu kwa kuishi
Ni aibu kubwa sana
Yaani eti sisi bila misaada bunge litakosa hela kweli
Ukiendekeza umasikini na maisha yote utakuwa ombaomba tu
Imagine mtu anakaa kuomba barabarani miaka nenda rudi anaomba tu
Au wapo wa kuomba buku kila leo ndio kafanya maisha
 
Back
Top Bottom