Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
nakutakia jumapili njema.
Nalog off
Nalog off
So kwa wapenda ...
wahakikishe wanaridhika kabisaa maana kule hakunaga
Wakuu,
Kwa walioenda church leo naomba mnijuze kuhusu injili,maana feni za parokia ya mbezi beach zinavyopuliza nilijikuta nimesikia tu kwa mbali story ya mwanamke aliyeolewa na wanaume saba kabla ya usingizi kunishika na wakati nakuja kushtuka nakuta kuna mambo ya kununua vipande kwaajil ya ujenz wa kanisa!!
Just kidding thou, mapendo daima!
Mi huwa nikienda wakati wa sadaka ukifika kuna roho mbili zinaanza kupambana,moja inaniambia nitoe sadaka nyingine inaniambia usitoe niende kunywa supu
Leo ilikuwa ni siku ya mavuno ibada ilikuwa ni moja..So sikwenda...
hahah kwann mkuu!
Comments zenu tu.....mmoja hataki kutoa sadaka,,,,,,mwingine ndo amesepa mavuno....wewe umestuka kwenye vibahasavya ujenzi...inaonekana michango inakimbiza watu nini? LOL
Michango balaa mkuu, na hivi kuna ujenzi wa kanisa jipya basi ni msala!
Mim wakati tunaamia tu mbezi tukakutana na ujenzi wa kanisa.....tukachangia mpaka sasa kanisa limekamilika kwa asilimia kubwa....eh imepita miezi tumeanza ujenzi wa kigango chetu.....yani ni harambee ya kila mwezi.....ni mashindano kwa jumuiya....na kuna watu wameamasika.....kuna jumuiya moja kila mwezi yenyewe ya kwanza inatoa mil. 3.....
so michango inachosha mwanzo tu lakini ukizoea unaona kawaida na ni jukumu lako kutoa......
Mana Heri mkono ule unaotoa kuliko kupokea...so unapo pata nafasi ya kumtolea Mungu toa kwa imani naye atakubariki....
Ngoja nianze kusali, nimevutiwa na waamini wenzangu.!!!!!
Umenena vyema mkuu, acha nijipange kwaajili ya mavuno next sunday!
Yap ulishapita kwetu siku nyingi......