Nimejaribu kumfatilia huyu dogo yuko vizuri anajua kuimba, nyimbo zake nzuri, sasa nashangaa inakuwaje hang'ai wakati yuko chini ya menejimenti ya bingwa wa kung'arisha nyota za watu 'Wema Sepetu', au ubingwa wake wa kung'arisha nyota unawork kwa baadhi ya watu tu?
Tatizo ana mcopy Rich mavoko,aje na style ya kipekee atang'ara.
utafiti una onyesha wasanii wanao kuja na swaga za kukopi hawatoboi kiviilee na mwisho wanaishia kapuni..
1.z anto -mb dog
2.steve rnb -nuruweli/rama D
3.Godzilla -50cent
4.Rachel -Rayc
5....endelea....
Hapa unataka kutuingiza chaka. Kwan Rachel hajatoboa? Je kuna uhusiano gan kati ya Godzilla local artist na 50 cent mpaka ashindwe kutoboa? Japo mie naamin Godzilla keshatoboa. He huyo mb Dogg bado u hewan? Achen kutoa majibu mepesi kwa maswali magum
kuna tofauti kati ya kutoboa na kuskika unaimba!
nadhani tume elewana!
Tatizo ana mcopy Rich mavoko,aje na style ya kipekee atang'ara.
utafiti una onyesha wasanii wanao kuja na swaga za kukopi hawatoboi kiviilee na mwisho wanaishia kapuni..
1.z anto -mb dog
2.steve rnb -nuruweli/rama D
3.Godzilla -50cent
4.Rachel -Rayc
5....endelea....
mbona wakina dimpoz wanaiga wanaigeria but still wanashine
Tatizo ana mcopy Rich mavoko,aje na style ya kipekee atang'ara.
utafiti una onyesha wasanii wanao kuja na swaga za kukopi hawatoboi kiviilee na mwisho wanaishia kapuni..
1.z anto -mb dog
2.steve rnb -nuruweli/rama D
3.Godzilla -50cent
4.Rachel -Rayc
5....endelea....
Msitarajie kama kuna msanii mpya au hata wa zamani anae taka rejea ktk game atang'aa recently.
Hii DIAMOND vs KIBA thing ina ukost sana mziki wa bongo flavor.
Yani na mashabiki tumekuwa kama matondo.
All attention is focused into ths two mazafantaz. Kazi kibao mpya na kali zapigwa dash fasta.
Ni ujinga mtupu. Najiondoa kwa matimu ya kipimbi haya.

Haya matimu ushuzi mi mwenyewe siyapendi yanadhohofisha mziki sana. Natamani hata hawa majamaa wawili wafanye kolabo ili hivi vitimu vifilie mbali.
elewa ninacho ongea hapa nasema kumcopy msanii mmoja mmoja na sio kukopi style ya muziki wa nchi fulani...ukitaka hivyo hata bongo fleva tumekopi kutoka marekani.
kuna tofauti kubwa kati ya kumkopi chriss brown na kukopi muziki wa marekani.
ume nielewa?