charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 6,004
We nawe mada hii umeifukunyua wapi?
hivi madam b ulikuwa wapi jamanii..nikajua umebadili jina..teh miss u
We nawe mada hii umeifukunyua wapi?
Dunia iko interesting😀 Hatimae Miriam Odemba amezama penzini kwa Ibra wa Konde gang.. kijana wa 20s
😀😀😀
Hatari na nusu mzee..Aiseeeee....
Aibu sana.. hadi nawaza sijui aliwazaje mambo ayo au sijui ndio uzungu mwingii..Anayoyafanya Sasa ni aibu kwa bintiye..