connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,840
- 3,909
Sasa wagaweni niniMwenye kujua namna mirathi ya celebrity Marehemu William Malecela a.k.a Le Mutuz ilivyogawanywa atujuze.
Kuna zile nyumba alikua anazionyesha sana pia na Ile apartment aliyonunua cash posta (mjini).Sasa wagaweni nini
Gari Noah Vox na online TV au nini ? Maana marehemu hakuwa na mali
Sasa wagaweni nini
Gari Noah Vox na online TV au nini ? Maana marehemu hakuwa na mali
Hana Nyumba huyo Mimi nilikuwa moja ya watu niliokuwa namtumia kunitafutia malayaAlikuwa na nyumba kinyerezi na Mbweni mkuu pia.
Hana Nyumba huyo Mimi nilikuwa moja ya watu niliokuwa namtumia kunitafutia malaya
Vipi nawe ni mtoto wa le mobimba ye?, haya muone chap mjomba ako King Kong III akupe maelekezo le family nye nye nye ππ
Siku babu anakatika watauana na wale Wapare.Wanavyo ndugu zake. Kama alivyofanyiwa dada yake nae hvo hvo.malizimevutwa na familia.
Downtown ManhattanI'm humbled you know ha ha ha ha bomaye ,mobimba nye nye nye!!
Straight Talk , Super Facts!!Downtown Manhattan
My American dream ππππ. Nlikutana na jamaa aliempaga lemutuz ile voxy lemutuz hakuwa na kitu,I'm humbled you know ha ha ha ha bomaye ,mobimba nye nye nye!!
Mwenye kujua namna mirathi ya celebrity Marehemu William Malecela a.k.a Le Mutuz ilivyogawanywa atujuze. Nyumba (2), apartments (3), akaunti benk, online TV na Magari