Mimi namaanisha ili watoto wetu wasiishi kwa kutegemea mirathi za wazazi wao, tunatakiwa wazazi kuwaandalia maisha yao ya sasa na ya baadaye!
Mfano kupitia elimu bora itakayowafanya kujitegemea, kuwapa mitaji ya kufungua biashara zao binafsi, kampuni, nk.