Elections 2020 Miraji Jumanne Mtaturu anatosha 2020 Ikungi

mugah di mathew

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
1,371
2,000
sifundishwi siungi mkono ugaidi alaf ikungi sio jimbo LA uchaguzi bali tunamajimbo mawil ya singida mashariki na magharibi ambalo ni baya zaidi
 
Nautico

Senior Member
Jul 28, 2017
171
500
Kwako ni fahari bunge kua na wabunge kama Goodluck Mlinga,Lusinde,Msukuma,Abood na vilaza wengi jamii ya ndioooooooo kwa kila kitu?
Kigoma Waziri Mkuu ana ziara kukagua miradi ya maendeleo na utekelezaji wa Ilani yule kijana wa Kibembe kutoka Bukavu 2020 ni mwisho kukalia viti Bungeni

Singida Mh Makamu wa Rais ziarani Singida kukagua utekelezaji wa Ilani pamoja na kuhamasisha maendeleo yule Vasco da Gama jimbo la Ikungi atalisikia masikioni 2020 tena alitakiwa alikose mapema mwezi uliopita baada ya kuanza maigizo Ulaya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
2,406
2,000
Baada ya kuona uhamasishaji wa maendeleo katika Wilaya ya Ikungi ambayo wananchi waliifanyia mzaha wakampatia mtembezi kama Vasco da Gama kutoka chama duni cha siasa nchini sasa yaanza kuelewa siasa za maendeleo

Ukitaka kuelewa vizuri fuatilia ziara ya makamu wa Rais Mama Samia huko Singida

Tusikosee 2020, Mkuu wa Wilaya Mh Mtaturu akionesha nia atafaa maana anaijua Ikungi vizuri atashughulikia shida za wananchi vyema

Niweke angalizo matusi hayazuiliwi!
BENARD KAMILIUS MEMBE ANATOSHA 2020
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,342
2,000
Baada ya kuona uhamasishaji wa maendeleo katika Wilaya ya Ikungi ambayo wananchi waliifanyia mzaha wakampatia mtembezi kama Vasco da Gama kutoka chama duni cha siasa nchini sasa yaanza kuelewa siasa za maendeleo

Ukitaka kuelewa vizuri fuatilia ziara ya makamu wa Rais Mama Samia huko Singida

Tusikosee 2020, Mkuu wa Wilaya Mh Mtaturu akionesha nia atafaa maana anaijua Ikungi vizuri atashughulikia shida za wananchi vyema

Niweke angalizo matusi hayazuiliwi!
Hao wananchi kodi wanamlipa Tundu Lisu? Wewe kilaza hata elimu ya uraia huifahamu!! Uliambiwa mbunge ndiye anayejenga barabara, kuleta maji au kujenga mashule nk?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
30,457
2,000
Kwa taarifa yako hakuna maendeleo yanaletwa na mbunge yoyote nchi hii. Bunge ni genge la kula hela za wananchi kisheria. Mfumo wa bunge letu unalifanya litii chochote atakacho rais aliye madarakani fullstop. Kama bunge litakuwa na muundo tofauti na huu hapo itaniingia akilini nikisikia mbunge analeta maendeleo. Kinyume na hapo ubunge hapa Tanzania ni cheo cha kuuzia sura.
Ndio maana lissu huwa haongelei maendeleo
 
mbinguni

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
2,194
1,500
Tangu 1961 mmeshindwa ndio leo muweze. Bange mbaya sana
Baada ya kuona uhamasishaji wa maendeleo katika Wilaya ya Ikungi ambayo wananchi waliifanyia mzaha wakampatia mtembezi kama Vasco da Gama kutoka chama duni cha siasa nchini sasa yaanza kuelewa siasa za maendeleo

Ukitaka kuelewa vizuri fuatilia ziara ya makamu wa Rais Mama Samia huko Singida

Tusikosee 2020, Mkuu wa Wilaya Mh Mtaturu akionesha nia atafaa maana anaijua Ikungi vizuri atashughulikia shida za wananchi vyema

Niweke angalizo matusi hayazuiliwi!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHOKAMBOVU

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
716
500
Tangu 1961 mmeshindwa ndio leo muweze. Bange mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
ndivyo walivyojipanga na kanafiki fulani kanaitwa ka-kingu kale kabunge kanakojipendekeza kwa bwana mkubwa pale magogoni. Ni wanasiasa wanafiki wakitumia propaganda za kijinga na za kitoto wakitaka kuwaaminisha watu kwamba wanafaa lakini wapi. Kingu kwa mfano katika kutaka kujionesha kwa wananchi aliahidi kutoa bati kwa shule moja ambayo kata hiyo iko chini ya chadema kwa ajili ya kuezeka maabara illi itumike kwa ajili ya kupokea watoto wa kidato cha kwanza lakini alipofika na kukuta diwani ashapeleka bati pale hajatokea mpaka leo kwenda kuwaambia wananchi ni kwanini ameshindwa kutoa bati katika shule hiyo. Wilaya ya Ikungi ina siasa za kinafiki na uzandiki. Na hawa watu wawili mtaturu na Kingu ni marafiki.
 
mwana wa mtemi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
372
250
Baada ya kuona uhamasishaji wa maendeleo katika Wilaya ya Ikungi ambayo wananchi waliifanyia mzaha wakampatia mtembezi kama Vasco da Gama kutoka chama duni cha siasa nchini sasa yaanza kuelewa siasa za maendeleo

Ukitaka kuelewa vizuri fuatilia ziara ya makamu wa Rais Mama Samia huko Singida

Tusikosee 2020, Mkuu wa Wilaya Mh Mtaturu akionesha nia atafaa maana anaijua Ikungi vizuri atashughulikia shida za wananchi vyema

Niweke angalizo matusi hayazuiliwi!
Yametimia kabla 2020
 
Top Bottom