Elections 2020 Miraji Jumanne Mtaturu anatosha 2020 Ikungi

mwana wa mtemi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
372
250
Wala mimi huwa simshauri atoe ahadi hewa. Huwa namwambia, "baba mdogo toa ulichonacho, usiahidi hewa" lakini hunipuuza. Halafu yeye ni kama mwenyekiti wa ccm wilaya, ni kama hatuna DC! Ubunge pale natabiri ni Gerald Mahami wa CHADEMA vs Dr. Jingu (Katibu mkuu Maendeleo ya jamii) wa CCM. Na mshindi ni Mahami hasa kama Lissu atagombes Urais
Hongera kwa ndoto za mchana

Hatuweki mtu dhaifu
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
8,103
2,000
Kigoma Waziri Mkuu ana ziara kukagua miradi ya maendeleo na utekelezaji wa Ilani yule kijana wa Kibembe kutoka Bukavu 2020 ni mwisho kukalia viti Bungeni

Singida Mh Makamu wa Rais ziarani Singida kukagua utekelezaji wa Ilani pamoja na kuhamasisha maendeleo yule Vasco da Gama jimbo la Ikungi atalisikia masikioni 2020 tena alitakiwa alikose mapema mwezi uliopita baada ya kuanza maigizo Ulaya
Na Bashite mmempangia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
2,100
2,000
Kwa taarifa yako hakuna maendeleo yanaletwa na mbunge yoyote nchi hii. Bunge ni genge la kula hela za wananchi kisheria. Mfumo wa bunge letu unalifanya litii chochote atakacho rais aliye madarakani fullstop. Kama bunge litakuwa na muundo tofauti na huu hapo itaniingia akilini nikisikia mbunge analeta maendeleo. Kinyume na hapo ubunge hapa Tanzania ni cheo cha kuuzia sura.
Ewe lofa acha kudanganya watu , mbunge Sugu analeta maendeleo mbeya mjini kwa kugawa maelfu ya cement kila kata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
22,574
2,000
CCM inafikiri wananchi wa Singida ni bado wale wakuhongwa Ndoo za Mtukuru
 
bhututu

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
554
500
Wananchi watafanya nini hawaoni wanavyofedheheshwa nchi nzima inatukanwa na wao wakiwemo!

Mwananchi yoyote Ikungi aliyemchagua Vasco da Gama ajue kama kulikuwa na mradi kutoka kwa wahisani wa maendeleo ikiwa ni pamoja na magonjwa kama UKIMWI akipoteza maisha, kwenye tukio hilo waseme aliyesababisha ni huyo kijana wao maana yeye tumbo lake kwanza wananchi watajijua!

Ndo maana tunasema sasa yatosha!!
Basi tena kufanya makosa
Singida hawajawahi ila 2015 walipitiwa
Ha ha ha umeona fursa naona jasho linakutoka. Kwani huyo vas o da gama kaitukana wapi nchi?!! Au unamaanisha kaisema serikali?!! Khaa sasa wewe unaumia nini, yeye aliumia wewe je?! Au ndio ninyi mlitaka afe?!
 
MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,039
2,000
CCM mshaurini DC Mtaturu asipoteze rasirimali na muda wake bure Singida Mashariki. Mtaturu hauziki jukwaani pale, atashindwa mchana kweupe. Sio Level ya Lissu wala Gerald Mahami aliyekua duwani wa kata ya Siuyu. Kiufupi Mtatururu hata wapeleke vifaru hawezi kushinda
 
DrLove69

JF-Expert Member
Jan 20, 2018
3,129
2,000
Kwa kauli yako Tindo ndiyo maana hata Ruzuku chadema inatumika hovyo hovyo

Juzi juzi Mwenyekiti wa CCM Taifa aliposema atatoa Million 200 kwa TV ya chama macho yaliwatoka watu wakahoji zimetoka wapi hawajui CCM inatumia ruzuku kwa maendeleo ya wananchi wote bila kujali chama wala itikadi zao

2020 Upinzani ukirudi Bungeni hata wabunge 10 itakuwa kazi kubwa ya ziada
Huyo anayejiita Tindo ndio wale wale mkuu.
 
mwana wa mtemi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
372
250
CCM mshaurini DC Mtaturu asipoteze rasirimali na muda wake bure Singida Mashariki. Mtaturu hauziki jukwaani pale, atashindwa mchana kweupe. Sio Level ya Lissu wala Gerald Mahami aliyekua duwani wa kata ya Siuyu. Kiufupi Mtatururu hata wapeleke vifaru hawezi kushinda
Tunatoa takataka zote za chadomo nchini
 
K A B U R U

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
636
500
Baada ya kuona uhamasishaji wa maendeleo katika Wilaya ya Ikungi ambayo wananchi waliifanyia mzaha wakampatia mtembezi kama Vasco da Gama kutoka chama duni cha siasa nchini sasa yaanza kuelewa siasa za maendeleo

Ukitaka kuelewa vizuri fuatilia ziara ya makamu wa Rais Mama Samia huko Singida

Tusikosee 2020, Mkuu wa Wilaya Mh Mtaturu akionesha nia atafaa maana anaijua Ikungi vizuri atashughulikia shida za wananchi vyema

Niweke angalizo matusi hayazuiliwi!
🚫Ikungi ni jimbo jipya?
 
nkuwi

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
3,834

Munio wa ma nyokwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aborder

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
243

Hakuna mtu apo upupu mtupu bora Wema Sepetu awe mbunge wa singinda mashariki kuliko Mtaturu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
12,349
2,000
Wananchi watafanya nini hawaoni wanavyofedheheshwa nchi nzima inatukanwa na wao wakiwemo!

Mwananchi yoyote Ikungi aliyemchagua Vasco da Gama ajue kama kulikuwa na mradi kutoka kwa wahisani wa maendeleo ikiwa ni pamoja na magonjwa kama UKIMWI akipoteza maisha, kwenye tukio hilo waseme aliyesababisha ni huyo kijana wao maana yeye tumbo lake kwanza wananchi watajijua!

Ndo maana tunasema sasa yatosha!!
Basi tena kufanya makosa
Singida hawajawahi ila 2015 walipitiwa
Kwamba kwanini Lissu yuko nje na analalamika huoni tatizo ,?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
genious wa kijiji

Senior Member
May 1, 2014
166
250
. inaonekana umetumwa na miraji kuanza kumtajataja mapema kuelekea 2020.

Alipoletwa ikungi kuwa mkuu wa wilaya nilijua wazi kuwa anaandaliwa kugombea 2020. Huu ulikua mpango mkakati wa ccm wa muda mrefu (Hapa nawapongeza ccm wana akili kubwa ya kuona mbali sana)

ila akigombea na Tundu lisu naye akagombea, basi lazima Tundu lissu ashinde. pamoja na mambo mengine Tundu lissu atapata huruma za wananchi kutokana na matatizo aliyopata. ikumbukwe wanyaturu ni watu wenye huruma sana. ccm ina mbinu za kijasusi kupata kura ila kwa lissu sidhan kama zitafua dafu.

kitu kizuri ni kwamba Lissu anafikiria urais, hivo asipogombea ubunge basi uhakika 100% Miraji mtaturu atashinda kwa sababu sijaona mtu mwingine mwenye ushawishi na anayejulikana vizuri ikungi zaidi ya Lissu na mtaturu.

yote kwa yote mm pia nitagombea ubunge 2020. sijajua ni kupitia chama gani ila sio ccm kwa sababu ccm hawawez kukuamini kijana mdogo hata kama una fikra productive za kuigeuza singida mashariki kuwa mbagala. Kwa mbinu nilizo nazo najua lazima ntashinda. Hilo halina shida kabisa na sitanii ktk hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mugah di mathew

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
1,371

Top Bottom