Miradi ya Maprofesa wa Bongo

Mshagara wa professor ni zaidi ya 6million kwa mwezi hapo hujaweka marupurupu mengine kama semina nk...

Na hawana stress za biashara kama watu kariakoo walivyo...
Kimsimgi they are living life
Dogo ni mpuuzi anaongea asichokijua! Hakuna mtu anapiga life kama ma professor. Tena hata huo mshahara uliomtajia ni wa lecturer wa kawaida senior lecturers wako 10m na kuendelea!
 
Mshahara wa professor ni zaidi ya 6million kwa mwezi hapo hujaweka marupurupu mengine kama semina nk...

Na hawana stress za biashara kama watu kariakoo walivyo...
Kimsimgi they are living life
Ndio maana biashara zinawashinda. Waendelee kuishi kwa hiyo mishahara
 
Mchawi kibunda mkuu

Kuna madogo wafanyabiashara wa kichaga na wa kikinga hapo Kariakoo akaunti zao zina mkwanja mrefu kuliko hata hao maprofesa

Hiyo title ya Profesa hata isikutishe
Na wewe akaunti yako ina shilingi ngapi? Wabongo mnapenda sana kuongelea maisha ya wenzenu, huku ya kwenu yakiwashinda.
 
Kwa wanaojitambua (nchi) maprofesa wanajikita kwenye mambo ya utafiti na utaalam. Huwezi kukuta wanafanya vi-miradi njaa kama hapa kwetu.
Wanawezeshwa sana na serikali zao na makampuni mkubwa huko kwao, hawa wakwetu ni kama wametelekezwa wapambane na hali zao, ukiwalaumu utakuwa unawakosea sana.
 
Dogo ni mpuuzi anaongea asichokijua! Hakuna mtu anapiga life kama ma professor. Tena hata huo mshahara uliomtajia ni wa lecturer wa kawaida senior lecturers wako 10m na kuendelea!
Si kweli mkuu, usiandike kitu usichokuwa na uhakika nacho
 
Wanawezeshwa sana na serikali zao na makampuni mkubwa huko kwao, hawa wakwetu ni kama wametelekezwa wapambane na hali zao, ukiwalaumu utakuwa unawakosea sana.
Mimi siku zote msimamo wangu ni huu. Nchi yetu tujilaumu sisi wananachi wenyewe kwa kila baya lililopo. Hawa maprofesa wanafanya nini kubadilisha hii hali kama siyo kujikomba kwa viongozi huku wakiwa wamejawa na woga mkuu. Juzi kuna watu alitaka kufanya kongamano la katiba kwenye chuo fulani Mwanza. Profesa Mahalu na usomi wake (nadhani ni sheria) alikuwafukuza huku akisema wanamharibia. Kwa kifupi ni kuwa wananchi pamoja na hao wasomi hatujitambui. Hakuna serikali duniani inayojali wananchi wake bila hao wananchi kuisimamia.
 
Sasa we jiulize mtu kama lipumba, kabudi, mkumbo, tibaijuka, ...... just imagine wote ni weupe kichwani wana ubunifu gani ..... eti profesa una miliki sheli
Ulitaka wamiliki Commision of Science and Technology?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…