Hio no 9. Kuna Doctor kauza shule, mwingine ni profesa nae ilimshinda miaka 5 iliopita akawapa kanisa. Yaani wachungaji na mapadri wanaweza kuendesha shule kuliko maptofesa.1.Ng'ombe wawili wa maziwa(SUA)
2.BAR(UDSM,OUT,UDOM,SAUT,DUCE,MUCE )
3.lodge (Mzumbe,UDOM)
4.Mboga mboga nusu heka (SUA)
5.Bwawa la samaki(SUA)
6.Stationary-vitini vinapatikana hapo na vitabu vyake(vyuo vyote)
7.Daladala (UDSM,OUT,SUA)
8.Saluni(DUCE,UDOM,MAKUMIRA,MIPANGO DOM,MZUMBE)
9.SHULE (Huyu amejitutumua sana ila usimamizi sio mzuri)
Ongeza na wewe unazo zikumbuka
Kabla ya kukimbilia kutuletea miradi ya hao Maprofesa wa Bongo, ulitakiwa kwanza kutuwekea miradi yako unayoimiliki wewe kama wewe kwa 💯% huko uliko mpaka sasa, ili kuwamotivate wengine.1.Ng'ombe wawili wa maziwa(SUA)
2.BAR(UDSM,OUT,UDOM,SAUT,DUCE,MUCE )
3.lodge (Mzumbe,UDOM)
4.Mboga mboga nusu heka (SUA)
5.Bwawa la samaki(SUA)
6.Stationary-vitini vinapatikana hapo na vitabu vyake(vyuo vyote)
7.Daladala (UDSM,OUT,SUA)
8.Saluni(DUCE,UDOM,MAKUMIRA,MIPANGO DOM,MZUMBE)
9.SHULE (Huyu amejitutumua sana ila usimamizi sio mzuri)
Ongeza na wewe unazo zikumbuka
Nafikiri mtoa mada anaongelea maprofesa, sidhani kama yeye ni profesa.Kabla ya kukimbilia kutuletea miradi ya hao Maprofesa wa Bongo, ulitakiwa kwanza kutuwekea miradi yako unayoimiliki wewe kama wewe kwa 💯% huko uliko mpaka sasa, ili kuwamotivate wengine.
Maana ufahamu unapo mnyooshea mwenzako kidole kama hivi; 👉 basi ukumbuke kuna vidole vingine vitatu vinakuelekea wewe mwenyewe.
Sasa huo muda anaoupata wa kufuatilia hiyo miradi ya hao Maprofesa wa Bongo, angeutumia kubuni miradi yake; si baada ya miaka kadhaa mbele angekuwa kama Said Salim Bakhresa!!!!Nafikiri mtoa mada anaongelea maprofesa, sidhani kama yeye ni profesa.
Kambarage bar & pub (SUA)1.Ng'ombe wawili wa maziwa(SUA)
2.BAR(UDSM,OUT,UDOM,SAUT,DUCE,MUCE )
3.lodge (Mzumbe,UDOM)
4.Mboga mboga nusu heka (SUA)
5.Bwawa la samaki(SUA)
6.Stationary-vitini vinapatikana hapo na vitabu vyake(vyuo vyote)
7.Daladala (UDSM,OUT,SUA)
8.Saluni(DUCE,UDOM,MAKUMIRA,MIPANGO DOM,MZUMBE)
9.SHULE (Huyu amejitutumua sana ila usimamizi sio mzuri)
Ongeza na wewe unazo zikumbuka
Wewe ulitaka wabuni miradi gani?1.Ng'ombe wawili wa maziwa(SUA)
2.BAR(UDSM,OUT,UDOM,SAUT,DUCE,MUCE )
3.lodge (Mzumbe,UDOM)
4.Mboga mboga nusu heka (SUA)
5.Bwawa la samaki(SUA)
6.Stationary-vitini vinapatikana hapo na vitabu vyake(vyuo vyote)
7.Daladala (UDSM,OUT,SUA)
8.Saluni(DUCE,UDOM,MAKUMIRA,MIPANGO DOM,MZUMBE)
9.SHULE (Huyu amejitutumua sana ila usimamizi sio mzuri)
Ongeza na wewe unazo zikumbuka
10. Vijoint companies vya ujenzi hususani kuziba viraka vya lami iliyochakaa barabarani1.Ng'ombe wawili wa maziwa(SUA)
2.BAR(UDSM,OUT,UDOM,SAUT,DUCE,MUCE )
3.lodge (Mzumbe,UDOM)
4.Mboga mboga nusu heka (SUA)
5.Bwawa la samaki(SUA)
6.Stationary-vitini vinapatikana hapo na vitabu vyake(vyuo vyote)
7.Daladala (UDSM,OUT,SUA)
8.Saluni(DUCE,UDOM,MAKUMIRA,MIPANGO DOM,MZUMBE)
9.SHULE (Huyu amejitutumua sana ila usimamizi sio mzuri)
Ongeza na wewe unazo zikumbuka
Umecopy na kupaste.1.Ng'ombe wawili wa maziwa(SUA)