Miradi iliyoachwa na Wakoloni kabla ya uhuru

Kwani picha iliyo ya Black n white haiwezekani kuicolor ikawa clear au katika rangi uitakayo? As long as ipo kwenye softcopy.

Hiyo picha ilikuwa ni Black & White jamaa akaiweka katika rangi hiyo kwa kutumia moja kati ya Apps nyingi tu za kuedit picha na kuzitupia katika Blog yake.

Picasa, picut, hata google photos tu inafanya hilo hujafika hata kwenye adobe Photoshop.
Hapo inaonyesha haupo makini ,nimeuliza kumbe 1904 kulikuwa na picha za rangi? Sasa unakuja kusema tofauti mwanzo ulisema zilikuwepo sasa unasema hiyo picha rangi imeditiwa,sasa kama umekubali rangi imeditiwa vipi kuhusu picha nzima kama ni photoshop?
 
Magufuli anajenga fly over zilizomshinda mkoloni
Flying over hazina faida yoyote kwa Mtanzania wa kawaida,hizo flying over huwezi kufanananisha na hiyo miradi iliyotajwa hapo juu

Nchi za Scandinavian,mfano nchi ya Denmark mpaka leo waziri mkuu na viongozi wengine wa vyeo vya juu wanapanda baskeli au public transport kama vile Train wanapokwenda kazini..

Tafakari
 
Hapo inaonyesha haupo makini ,nimeuliza kumbe 1904 kulikuwa na picha za rangi? Sasa unakuja kusema tofauti mwanzo ulisema zilikuwepo sasa unasema hiyo picha rangi imeditiwa,sasa kama umekubali rangi imeditiwa vipi kuhusu picha nzima kama ni photoshop?
Sawa, wewe unajua zaidi na upo makini

Big up....!
 
Back
Top Bottom