Miradi iliyoachwa na Wakoloni kabla ya uhuru

Miradi ya maendeleo ni lazma itumike ili kuweza kuboresha zaidi demokrasia kwani yule ambae anatekeleza ahadi ya kukamilisha miradi hiyo ana haki kabisa ua kujivunia matunda yake.

Anakuwa hastahiki haki hiyo endapo ameshindwa kutekeleza na kukamisha miradi hiyo kwa miaka zaidi ya 40 na zaidi.

Kwa sasa raisi alieko madarakani JPM ana haki zote za kujivunia kwa kutekeleza na kukamilisha miradi hiyo.

Kwa kuwa sasa hata mimi sasa Tanga Line naitumia kwa uzuri basi, naona wazi nadeserve haki hiyo.

Kwani wapinzani wakiingia madarakani watabomoa miundombinu? Ninachojua kunajisi box la kura hakukubaliki, regardless kuna miradi, maana miradi iliyopo inafanyika kwa mikopo na kodi za wananchi wote, na sio mshahara wa kiongozi. Hivyo wananchi waachwe wachague kutokana na utashi wao, na sio utashi wa kiongozi yoyote yule na genge lake, ili kukaa madarakani zaidi ya muda wa katiba.
 
Sijakwama popote, ila kama wewe unataka ionekane hivyo., Ninakuelewa vizuri sana kutokana na historia ya majibishano kati yetu humu JF.

Sawa, hebu weka hizo za kwako zenye nguvu tuzione, ili tujue mleta mada anakwama wapi.
 
Magufuli anatoa elimu bure pia
Mzungu alijenga miradi iliyotesheleza uhitaji wa wakati huo. Isitoshe bado alitoa elimu bora kuliko hii watu wana PhD na wanachafua lugha ya PhD.
 
Sawa, hebu weka hizo za kwako zenye nguvu tuzione, ili tujue mleta mada anakwama wapi.
Mkuu, tuliache hili, kwa sababu ni mizunguko isiyotupeleka popote.

Pitia hiyo miradi iliyoorodheshwa na mleta mada, na kama unaona hakuna upotoshaji, basi baki na ridhika na hilo. Haisaidii kitu kunihimiza nifanye kitu ambacho kipo tayari kinaonekana.
 
Ni bora tungeendelea kutawaliwa na wakoloni weupe tungekua mbali sana kimaendeleo kuliko wakoloni ccm
 
Mkuu, tuliache hili, kwa sababu ni mizunguko isiyotupeleka popote.

Pitia hiyo miradi iliyoorodheshwa na mleta mada, na kama unaona hakuna upotoshaji, basi baki na ridhika na hilo. Haisaidii kitu kunihimiza nifanye kitu ambacho kipo tayari kinaonekana.

Kazi ipo!
 
Ifuatayo ni miradi mikubwa iliyojengwa na wakoloni:-

1. Ujenzi wa Bandari ya DSM
2. Ujenzi wa Bandari ya Tanga
3. Ujenzi wa Bandari ya Mtwara
4. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa DSM
5. Ujenzi wa uwanja wa Bandari ya Pemba
6. Ujenzi wa Ikulu ya DSM
7. Ujenzi wa Dsm College (Baadae ikaboreshwa na kuwa UDSM baada ya uhuru)
8. Ujenzi wa Bandari ya Zanzibar
9. Ujenzi wa reli ya kati, Dar-Tabora-Mwanza, Tabora -Kigoma
10. Ujenzi wa mji wa Tanga + Master Plan
11. Ujenzi wa Jiji la DSM + master plan yake
12. Ujenzi wa Bandari ya Mwanza
13. Ujenzi wa bandari ya Bukoba na Musoma
14. Ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay
15. Ujenzi wa Bandari ya Ujiji Kigoma
16. Uundaji wa meli ya MV. Liemba (Ziwa Tanganyika)
17. Uunzi wa meli ya MV. Victoria (Ziwa Victoria)

18. Ujenzi wa shule za Sekondari za kale, mfano Mzumbe, Ilboru, Tanga Tech, Moshi Tech, Mazengo, Mtwara Tech, Tabora Boys+Girls, Pugu, Kibaha, Minaki, Bwiru boys & Girls, Msalato, Ifunda, Iyunga, Mkwawa, Nganza, Tosamaganga, Kilakara, nk

19. Ujenzi wa Ikulu ya Z'bar
20. Ujenzi wa majengo mengi ya Wizara za serikali, vituo vya polisi, magereza na Mahakama.
21. Ujenzi wa shule za msingi za serikali na za Seminari
22. Ujenzi wa makanisa, mf. St. Joseph na Azania Front (Posta Dar) na Misikiti kwa upande wa Z'bar
23. Ujenzi wa hospitali kubwa, mf. Muhimbili
24. Ujenzi wa mabwawa ya kuzalisha umeme mf. Hale + Nyumba ya Mungu.
25. Ujenzi wa vyuo vikuu vya kati, mfano Dar Tech, Arusha Tech, vyuo vya Ualimu, Kilimo, nk
26. Ujenzi wa reli ya Tanga
27. Ujenzi wa gridi ya kwanza ya Taifa ya umeme
28. Uanzishaji wa mashirika ya umma mfano Posta na simu pamoja na Benki yake
29. Ujenzi wa Uwanja wa Taifa, jijini Dar (Leo Shamba la Bibi)
30. Ujenzi wa vivuko, mfano Kigamboni na Posta jijini Dar
31. Na kadhalika na kadhalika.

Lakini pamoja na yoooote hayo, miradi hiyo yooote, Bado wazee wetu wakiongozwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, walisimama mbele ya kadamnasi na kuwaambia wananchi kuwa hao watu (wakoloni) hawafai, waondoke watupishe. Na kweli wakapisha rasmi Desemba mwaka 1961.

Sasa mwaka huu 2020, mimi ni nani hata nisimpinge ccm kwenye uchaguzi huu, pale anapotumia miradi ya maendeleo kadhaa iliyojengwa na serikali anayoiongoza, kama kigezo cha yeye kutaka kuchaguliwa tena na kubakia madarakani?

Tafakari...!!!.
Mataga na Vimiradi vyao vya Kuunga unga hivyo vitano yaani MAKELE kibao na Vimradi hivyo venyewe vipo tangia utawala wa KIKWETE!!
 
Ni madarasa makubwa mawili tu ndio yaliyojengwa na Wakoloni katika shule ya Ilboru, kanisa la KKKT na majengo mengine yalijengwa na wanawake wa kiarusha/kimasai walioitwa ''Ndoye o' matofali'' mwaka 1904.
1904 watu ambao walikuwa wanavaa majani ndio wawe na technoloji ya kutengeneza tofali na chokaa kujenga majengo imara?
 
Ungesikiliza hotuba ya mwalimu Nyerere ya miaka kumi ya uhuru ungeelewa kwanini tulitaka uhuru, isitoshe miradi mingi unayosema ilitengenezwa na mjerumani ambaye alishaondoka labda ungelinganisha miradi aliyoacha mjerumani na uingereza kwanza
 
Ifuatayo ni miradi mikubwa iliyojengwa na wakoloni:-

1. Ujenzi wa Bandari ya DSM
2. Ujenzi wa Bandari ya Tanga
3. Ujenzi wa Bandari ya Mtwara
4. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa DSM
5. Ujenzi wa uwanja wa Bandari ya Pemba
6. Ujenzi wa Ikulu ya DSM
7. Ujenzi wa Dsm College (Baadae ikaboreshwa na kuwa UDSM baada ya uhuru)
8. Ujenzi wa Bandari ya Zanzibar
9. Ujenzi wa reli ya kati, Dar-Tabora-Mwanza, Tabora -Kigoma
10. Ujenzi wa mji wa Tanga + Master Plan
11. Ujenzi wa Jiji la DSM + master plan yake
12. Ujenzi wa Bandari ya Mwanza
13. Ujenzi wa bandari ya Bukoba na Musoma
14. Ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay
15. Ujenzi wa Bandari ya Ujiji Kigoma
16. Uundaji wa meli ya MV. Liemba (Ziwa Tanganyika)
17. Uunzi wa meli ya MV. Victoria (Ziwa Victoria)

18. Ujenzi wa shule za Sekondari za kale, mfano Mzumbe, Ilboru, Tanga Tech, Moshi Tech, Mazengo, Mtwara Tech, Tabora Boys+Girls, Pugu, Kibaha, Minaki, Bwiru boys & Girls, Msalato, Ifunda, Iyunga, Mkwawa, Nganza, Tosamaganga, Kilakara, nk

19. Ujenzi wa Ikulu ya Z'bar
20. Ujenzi wa majengo mengi ya Wizara za serikali, vituo vya polisi, magereza na Mahakama.
21. Ujenzi wa shule za msingi za serikali na za Seminari
22. Ujenzi wa makanisa, mf. St. Joseph na Azania Front (Posta Dar) na Misikiti kwa upande wa Z'bar
23. Ujenzi wa hospitali kubwa, mf. Muhimbili
24. Ujenzi wa mabwawa ya kuzalisha umeme mf. Hale + Nyumba ya Mungu.
25. Ujenzi wa vyuo vikuu vya kati, mfano Dar Tech, Arusha Tech, vyuo vya Ualimu, Kilimo, nk
26. Ujenzi wa reli ya Tanga
27. Ujenzi wa gridi ya kwanza ya Taifa ya umeme
28. Uanzishaji wa mashirika ya umma mfano Posta na simu pamoja na Benki yake
29. Ujenzi wa Uwanja wa Taifa, jijini Dar (Leo Shamba la Bibi)
30. Ujenzi wa vivuko, mfano Kigamboni na Posta jijini Dar
31. Na kadhalika na kadhalika.

Lakini pamoja na yoooote hayo, miradi hiyo yooote, Bado wazee wetu wakiongozwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, walisimama mbele ya kadamnasi na kuwaambia wananchi kuwa hao watu (wakoloni) hawafai, waondoke watupishe. Na kweli wakapisha rasmi Desemba mwaka 1961.

Sasa mwaka huu 2020, mimi ni nani hata nisimpinge ccm kwenye uchaguzi huu, pale anapotumia miradi ya maendeleo kadhaa iliyojengwa na serikali anayoiongoza, kama kigezo cha yeye kutaka kuchaguliwa tena na kubakia madarakani?

Tafakari...!!!.
- anhaa, kwahiyo unataka kuniambia baba ya jirani ni bora kuliko baba yangu mzazi mara 10 ??
- unataka tumrudishe mkoloni au unataka tumpinge ccm ??
-Raisi angekuwa chama kingine ungempinga ??
 
Magufuli anajenga shule kwa ajili ya watanzania wote ila mkoloni alijenga shule kwa ajili ya wazungu na watoto wa machifu
 
Ungesikiliza hotuba ya mwalimu Nyerere ya miaka kumi ya uhuru ungeelewa kwanini tulitaka uhuru, isitoshe miradi mingi unayosema ilitengenezwa na mjerumani ambaye alishaondoka labda ungelinganisha miradi aliyoacha mjerumani na uingereza kwanza

Tanzania ilikuwa koloni la Ujerumani, ila waingereza walikuwa wamekabidhiwa na UN kwa Uingereza mpaka itakapokuwa tayari kujitawala. Hivyo miradi kabisa ya uhakika walifanya wajerumani Zaidi ya miaka 100 iliyopita.
 
Ifuatayo ni miradi mikubwa iliyojengwa na wakoloni:-

1. Ujenzi wa Bandari ya DSM
2. Ujenzi wa Bandari ya Tanga
3. Ujenzi wa Bandari ya Mtwara
4. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa DSM
5. Ujenzi wa uwanja wa Bandari ya Pemba
6. Ujenzi wa Ikulu ya DSM
7. Ujenzi wa Dsm College (Baadae ikaboreshwa na kuwa UDSM baada ya uhuru)
8. Ujenzi wa Bandari ya Zanzibar
9. Ujenzi wa reli ya kati, Dar-Tabora-Mwanza, Tabora -Kigoma
10. Ujenzi wa mji wa Tanga + Master Plan
11. Ujenzi wa Jiji la DSM + master plan yake
12. Ujenzi wa Bandari ya Mwanza
13. Ujenzi wa bandari ya Bukoba na Musoma
14. Ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay
15. Ujenzi wa Bandari ya Ujiji Kigoma
16. Uundaji wa meli ya MV. Liemba (Ziwa Tanganyika)
17. Uunzi wa meli ya MV. Victoria (Ziwa Victoria)

18. Ujenzi wa shule za Sekondari za kale, mfano Mzumbe, Ilboru, Tanga Tech, Moshi Tech, Mazengo, Mtwara Tech, Tabora Boys+Girls, Pugu, Kibaha, Minaki, Bwiru boys & Girls, Msalato, Ifunda, Iyunga, Mkwawa, Nganza, Tosamaganga, Kilakara, nk

19. Ujenzi wa Ikulu ya Z'bar
20. Ujenzi wa majengo mengi ya Wizara za serikali, vituo vya polisi, magereza na Mahakama.
21. Ujenzi wa shule za msingi za serikali na za Seminari
22. Ujenzi wa makanisa, mf. St. Joseph na Azania Front (Posta Dar) na Misikiti kwa upande wa Z'bar
23. Ujenzi wa hospitali kubwa, mf. Muhimbili
24. Ujenzi wa mabwawa ya kuzalisha umeme mf. Hale + Nyumba ya Mungu.
25. Ujenzi wa vyuo vikuu vya kati, mfano Dar Tech, Arusha Tech, vyuo vya Ualimu, Kilimo, nk
26. Ujenzi wa reli ya Tanga
27. Ujenzi wa gridi ya kwanza ya Taifa ya umeme
28. Uanzishaji wa mashirika ya umma mfano Posta na simu pamoja na Benki yake
29. Ujenzi wa Uwanja wa Taifa, jijini Dar (Leo Shamba la Bibi)
30. Ujenzi wa vivuko, mfano Kigamboni na Posta jijini Dar
31. Na kadhalika na kadhalika.

Lakini pamoja na yoooote hayo, miradi hiyo yooote, Bado wazee wetu wakiongozwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, walisimama mbele ya kadamnasi na kuwaambia wananchi kuwa hao watu (wakoloni) hawafai, waondoke watupishe. Na kweli wakapisha rasmi Desemba mwaka 1961.

Sasa mwaka huu 2020, mimi ni nani hata nisimpinge ccm kwenye uchaguzi huu, pale anapotumia miradi ya maendeleo kadhaa iliyojengwa na serikali anayoiongoza, kama kigezo cha yeye kutaka kuchaguliwa tena na kubakia madarakani?

Tafakari...!!!.
Hujaanza Leo kuipinga CCM, Hata 2015 Uliipinga, Kura yako ulimpa Lowasa.
 
1904 watu ambao walikuwa wanavaa majani ndio wawe na technoloji ya kutengeneza tofali na chokaa kujenga majengo imara?
Mkuu huu in ukweli na uhakika, kanisa hilo hapo, kilichokuja kubadilishwa hapo ni kuondoa nyasi na kuwekwa bati.

Hilo ni kanisa la kwanza kabisa kujengwa jijini Arusha lipo mpaka hivi sasa.
ilboru.jpg
 
Mkuu huu in ukweli na uhakika, kanisa hilo hapo, kilichokuja kubadilishwa hapo ni kuondoa nyasi na kuwekwa bati.

Hilo ni kanisa la kwanza kabisa kujengwa jijini Arusha lipo mpaka hivi sasa.View attachment 1487996
Weka picha ya sasa ya hilo kanisa,kumbe 1904 kulikuwa na picha za rangi? Au Majani/Nyasi ya/ziliondolewa karibuni?
 
Ifuatayo ni miradi mikubwa iliyojengwa na wakoloni:-

1. Ujenzi wa Bandari ya DSM
2. Ujenzi wa Bandari ya Tanga
3. Ujenzi wa Bandari ya Mtwara
4. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa DSM
5. Ujenzi wa uwanja wa Bandari ya Pemba
6. Ujenzi wa Ikulu ya DSM
7. Ujenzi wa Dsm College (Baadae ikaboreshwa na kuwa UDSM baada ya uhuru)
8. Ujenzi wa Bandari ya Zanzibar
9. Ujenzi wa reli ya kati, Dar-Tabora-Mwanza, Tabora -Kigoma
10. Ujenzi wa mji wa Tanga + Master Plan
11. Ujenzi wa Jiji la DSM + master plan yake
12. Ujenzi wa Bandari ya Mwanza
13. Ujenzi wa bandari ya Bukoba na Musoma
14. Ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay
15. Ujenzi wa Bandari ya Ujiji Kigoma
16. Uundaji wa meli ya MV. Liemba (Ziwa Tanganyika)
17. Uunzi wa meli ya MV. Victoria (Ziwa Victoria)

18. Ujenzi wa shule za Sekondari za kale, mfano Mzumbe, Ilboru, Tanga Tech, Moshi Tech, Mazengo, Mtwara Tech, Tabora Boys+Girls, Pugu, Kibaha, Minaki, Bwiru boys & Girls, Msalato, Ifunda, Iyunga, Mkwawa, Nganza, Tosamaganga, Kilakara, nk

19. Ujenzi wa Ikulu ya Z'bar
20. Ujenzi wa majengo mengi ya Wizara za serikali, vituo vya polisi, magereza na Mahakama.
21. Ujenzi wa shule za msingi za serikali na za Seminari
22. Ujenzi wa makanisa, mf. St. Joseph na Azania Front (Posta Dar) na Misikiti kwa upande wa Z'bar
23. Ujenzi wa hospitali kubwa, mf. Muhimbili
24. Ujenzi wa mabwawa ya kuzalisha umeme mf. Hale + Nyumba ya Mungu.
25. Ujenzi wa vyuo vikuu vya kati, mfano Dar Tech, Arusha Tech, vyuo vya Ualimu, Kilimo, nk
26. Ujenzi wa reli ya Tanga
27. Ujenzi wa gridi ya kwanza ya Taifa ya umeme
28. Uanzishaji wa mashirika ya umma mfano Posta na simu pamoja na Benki yake
29. Ujenzi wa Uwanja wa Taifa, jijini Dar (Leo Shamba la Bibi)
30. Ujenzi wa vivuko, mfano Kigamboni na Posta jijini Dar
31. Na kadhalika na kadhalika.

Lakini pamoja na yoooote hayo, miradi hiyo yooote, Bado wazee wetu wakiongozwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, walisimama mbele ya kadamnasi na kuwaambia wananchi kuwa hao watu (wakoloni) hawafai, waondoke watupishe. Na kweli wakapisha rasmi Desemba mwaka 1961.

Sasa mwaka huu 2020, mimi ni nani hata nisimpinge ccm kwenye uchaguzi huu, pale anapotumia miradi ya maendeleo kadhaa iliyojengwa na serikali anayoiongoza, kama kigezo cha yeye kutaka kuchaguliwa tena na kubakia madarakani?

Tafakari...!!!.
Mtoto endelea kusoma upate akili nzuri na kumbukumbu nzuri.
Najua wasoma sana ili uweze kujua, lakini kwa taarifa yako 1961 halakuwahi kuwepo Gridi ya Taifa, na umeme mikoani ilikuwa kwa nyumba chache uliotokana na genereta kwa mikoa fulani fulani tu.

Endelea kusoma upate akili.
Lakini kumbuka mababu zako waliokuwa wanaswagwa kama ng’ombe toka mikoani kwenda kuwa manamba kule Tanga mashamba ya mkonge.
Nawe ungeswagwa leo hakika ungefurahia wakoloni.
 
Wengi humu nawaona mnamkataa mkoloni simply tu kwasababu ya madhila waliyoyafanya kwa babu zetu, kama baadhi ya picha zinavyojionesha huko juu enzi ya utumwa.

Lakini tukubaliane jambo moja, hata kama mkoloni aliwatesa babu zetu, hata hawa watawala wa sasa wanatesa wapinzani, kila siku kukamatwa na polisi, kupigwa, wengine kuuawa, hili linatofauti gani na enzi ya ukoloni?

Kama suala ni kujenga Stieglers na SGR, hata mkoloni nae alijenga kama mleta mada alivyoonesha kule juu, tena inawezekana kabisa mkoloni angebaki zaidi tungekuwa tumepiga hatua za maendeleo zaidi ya hapa tulipo, mf. South Africa.

Mkoloni hakuwa anachukua 10% toka kwa yeyote, hawakuwa wanaenda ku- sign mikataba hotelini ulaya, wale walikuwa wakitaka kujenga kitu fulani, lazima kijengwe, there was no messing around wakati wao, siku hizi wanajenga hospitali halafu wanataka tuwashangilie kama hizo pesa wametoa mifukoni mwao, yani wanatuona kama vile na sisi tunaishi enzi za ukoloni, usiposhangilia unaitwa sio mzalendo, eti wewe ni pinga pinga!
 
Basi labda mchague walevi na wazinzi angalau watawafundisha kutembea na wake za watu na wizi kuliko wanaojenga miradi mikubwa, ...
Hilo la Uzinzi ungekaa kimya tu, maana huyu wa Chato ndo balaa barazani.
 
Back
Top Bottom