Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,101
- 34,051
Wewe inaelekea huna uelewa una ubishi na hata ukielekezwa huelewi.Weka picha ya sasa ya hilo kanisa,kumbe 1904 kulikuwa na picha za rangi? Au Majani/Nyasi ya/ziliondolewa karibuni?
Picha ya sasa ya kanisa ipo hapo chini, na mnara ulijengwa siku ya maadhimisho ya miaka 100 yaani mwaka 2004. Mimi nilikuwepo wakati wa maadhimisho na ujenzi wa huo mnara mdogo.
Ramani hiyo ya kanisa iliigwa kutoka makanisa ya Bergen na Bethel Lutheran church, yaliyopo hivyo pia.
Nyumbani nina picha ya Bibi yangu B&W ya mwaka 1904 March,akiwa ameshika matofali mawili madogo ya kuchoma, aliyopigwa na Mjerumani mpiga picha maarufu wa miaka hiyo almost kwa Arusha yote, aliyeishi mkabala na geti la sekondari Ilboru.