chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 900
Zanzibar ndo kitovu cha taarabu na kafa ni kitovu cha matusi
RA ndie alietoa oda kwa rais kumteua Jussa kuwa mbunge cunajua, rais na ra ndio wenye dowans
Hamadi Rashidi alipanda hewani kwa njia ya simu na akapata muda wa kutosha na yeye kurusha mashairi yake. Nilifanikiwa kumkuata akidai kuwa wakina Jusa na Maalimu wameua mradi wa gazeti la FAHAMU na kampuni nyingine ambayo sikufanikiwa kuidaka vizuri ya CUF iliyoanzishwa kwa minajili ya kufanya biashara.
Pia Hamadi akakanusha papo hapo kuwa hajaomba msamaha kwa yeyote kwani hapo awali Jusa alisema Hamadi kashatambua makosa yake na akakutana na Saif kuomba Msamaha.
Jusa alikuja na kurusha shutuma kuwa aliyeua Gazeti la FAHAMU na iyo kampuni ni Hamad mwenyewe kwani hayo yote yalikua chini yake.
Kwa kweli mashairi yalikua matamu hasa Jusa akimalisa moja na Hamadi anapokea.
Jussa anadai kuwa chanzo kikubwa cha Hamadi kuanza kumchukia na kuleta chokochoko zote hizo juu yake ni pale Hamad alipomuomba (Jussa) amuombee mkopo wa Shilingi Bilioni moja kutoka kwa Rostam ili afanye biashara kwa kuwa wao ni maswahiba na Jussa alipokataa ndo Hamad akaanza kumfungukia
Rostam, Rostam, Rostam.
Hiki ni kichwa kisicho mfano, tumesikia ya CCM na RA tukasikia ya CHADEMA na RA sasa tunasikia CUF na RA.
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.
Ni Rostam, JMK, EL na sasa FaizaFoxy?Rostam, Rostam, Rostam.
Hiki ni kichwa kisicho mfano, tumesikia ya CCM na RA tukasikia ya CHADEMA na RA sasa tunasikia CUF na RA.
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.
Gazeti la FAHAMU? Kumbe ni la CUF? Si ni miongoni mwa magazeti yaliyo na lugha kali zenye mwelekeo wa kidini? Siasa zetu ni zaidi ya tuzijuavyo.
Gazeti la FAHAMU? Kumbe ni la CUF? Si ni miongoni mwa magazeti yaliyo na lugha kali zenye mwelekeo wa kidini? Siasa zetu ni zaidi ya tuzijuavyo.
Makubwa...! Kungekuwa na hansard kama kwa bi kiroboto basi wengi tungepata utamu wa mipasho hiyo...!Hamadi Rashidi alipanda hewani kwa njia ya simu na akapata muda wa kutosha na yeye kurusha mashairi yake. Nilifanikiwa kumkuata akidai kuwa wakina Jusa na Maalimu wameua mradi wa gazeti la FAHAMU na kampuni nyingine ambayo sikufanikiwa kuidaka vizuri ya CUF iliyoanzishwa kwa minajili ya kufanya biashara.
Pia Hamadi akakanusha papo hapo kuwa hajaomba msamaha kwa yeyote kwani hapo awali Jusa alisema Hamadi kashatambua makosa yake na akakutana na Saif kuomba Msamaha.
Jusa alikuja na kurusha shutuma kuwa aliyeua Gazeti la FAHAMU na iyo kampuni ni Hamad mwenyewe kwani hayo yote yalikua chini yake.
Kwa kweli mashairi yalikua matamu hasa Jusa akimalisa moja na Hamadi anapokea.
Sio mwaka huu tu mkuu hata mwakani tutasikia mengi zaidi.tutasikia mengi mwaka huu
Nakumbuka hata akina Mtatiro waliruka kimanga. Jamani unafiki wa wanasiasa wetu utatufikisha wapi? CUF, chama kilichoaminiwa na maelfu ya watanzania leo mbona mnatia aibu?
Kwa mfano suala la helicopter, au msaada mwingine wowote, kulikuwa na ugumu gani wa kuweka mambo hadharani kama, kwa mfano, CHADEMA wanavyofanya? Wakipokea misaada ya Sabodo inawekwa public na dunia nzima inashuhudia! Wakirusha helicopter wanatangaza hadharani ni msaada kutoka kwa Ndesamburo? Kwa nini kufanya mambo chini ya zulia kwenye uficho? Kweli KWENYE MSAFARA WA MAMBA, KENGE WAMO!
Kuna siku magaidi na mafioso watatufadhili, tena sio mbali.
Hamad alishindwa kuchukua mkopo benki? Hii habari naitilia shaka. Hivi huyu Jussa ndiye katibu wa Rostam?
R i p cuf