Mind Bending| Blowing Movies| Series| Special Thread.

PROTAGONIST:Hey!(Neil turns)You never did tell me who recruited you.

NEIL(smiles): Haven’t you guessed by now? You did. Just not when you thought. You have a future in the past. Years ago for me. Years from now for you.

PROTAGONIST
You’ve known me for years?

NEIL:(nods).For me, I think this is the end of a beautiful friendship.

PROTAGONIST:But for me it’s just the beginning?

NEIL:And we get up to some stuff. You’re
gonna love it. You’ll see. Thiswhole operation is a temporal pincer.

PROTAGONIST:Whose?

NEIL:Yours. You’re only halfway there. I’ll see you at the beginning, friend.




View: https://youtu.be/gbO6X_aCxDE?si=uLqUEumKO-76U8jj
 
PROTAGONIST:Hey!(Neil turns)You never did tell me who recruited you.

NEIL(smiles): Haven’t you guessed by now? You did. Just not when you thought. You have a future in the past. Years ago for me. Years from now for you.

PROTAGONIST
You’ve known me for years?

NEIL:(nods).For me, I think this is the end of a beautiful friendship.

PROTAGONIST:But for me it’s just the beginning?

NEIL:And we get up to some stuff. You’re
gonna love it. You’ll see. Thiswhole operation is a temporal pincer.

PROTAGONIST:Whose?

NEIL:Yours. You’re only halfway there. I’ll see you at the beginning, friend.
 
Kwa wale ambao hawakupata nafasi ya kutazama "Oppenheimer " katika Movie theatre, basi kazi kwako tayari imetoka.
 
Thats the idea mkuu, ndo maana mleta uzi akasema MIND BENDING/BLOWING MOVIES.Unatakiwa utulie ndo ucheki movie uielewe. Sio kama hiyo Sissu sijui Susso alotaja mdau juu huko, what a waste of 2hours

We live a twilight world
Ni kweli. Lakini movie unatakiwa ukitoka ukumbi wa cinema utoke umeielewa. Siyo unahitaji tena kupata ufafanuzi au kungia google ili uielewe. Katika watu mia walioangalia TENET au Inception kwa mara ya kwanza ukumbini inawezekana walioielewa hawafiki watano. Si kosa lao, ni kosa la muandaaji.

Nani kwa kuona TENET kwa mara ya kwanza bila google atagundua kuwa TENET ikiandikwa kinyume ni TENET pia? Na kwamba jina la movie linaakisi mambo ya kinyumenyume kwenye hiyo movie?

Movie ukishindwa kuelewa yote kwa mara ya kwanza si movie tena wala siyo mind blowing bali ni kitendawili.
 
images (2).jpeg
 
Hii movie ya sissu nilisoma kuhusu humu ila sikuwa hata na haku ya kuitazma, juzi dogo kaidownload kwa ajili yangu nikaamua kuitazama. Sikuipenda na wala sikuona chochote cha kushtua...
Kuna Get Out
Now you see me, now you see me not
Nilidownload hata Mimi ila ni ovyo ,nishaofuta kitambo
 
Waking Life (2001).
Nimetoka kumaliza kuirudia kuitazama Waking Life (2001). Kuna wakati unajaribu kufikilia waandaji katika miaka ya 2000- 2001 mwaka walikua wamelenga kitu gani. Najaribu kutengeneza nadharia zangu kuwa walitaka kujaribu kutumia movie kama shule ya kuelimisha watu katika karne hii ya 21? au walitaka ku-set tone tofauti katika industry hii? au ubora wa hizi movie umetoka na standard ilitengenezwa hasa miaka ya 1990s? Maana hii ndiyo miaka walitupa Donnie Darko, Artificial Intelligence, A Beautiful Mind, Muholland Drive, Memento e.t.c. Ila nashindwa kupata majibu kamili maana tayari wameacha kutengeneza picha za namna hii.

Anyways, kama hujaangalia hii Waking Life (2001)ni bora ukai-check. Lakini niweke wazi sidhani kama hii movie inafaa kuwekwa kwenye category ya entertainment labda kama kwako usomaji wa vitabu ni burudani. Hii ni philosophical movie. Ni nzuri sana.
 
Severance (2022)

Hii ni series. Imeanza taratibu sana. Ukisikia tafsiri kamili ya Slow-burn series basi ni hii. Ila ukiweza kufika S1E05 basi utaipenda sana hii series.

Jaribu kufikiri tu, Maisha yako ya nyumbani na maisha yako ya kazini yakatenganishwa. Wewe wa kazini hamtambui wewe wa nyumbani? Ni jambo zuri au baya? Je ni kipi kitatokea? kupata majibu angalia Severance.
 
The OA (2016).

Huu sio mtazamo wangu, ila nimeona wengi wanasema hii ndio series ambayo angalau imeisogelea Dark, japo hadi sasa hakuna mind bending series bora kama Dark.
 
Groundhog Day (1993)

'I am god. I am god'. Jamaa ilifika wakati akajiona mungu sababu anaweza wa kuona kila kinachoweza kutokea siku hiyo. Sio kwa sababu anauwezo wa kutabiri, bali kwake siku na matukio yalikua hayabadiliki katika siku hiyo. Kwa kuwa alikua ni jeuri, ana dharau, majivuno n.k, basi ili siku iweze kubadilika, basi lazima abadilike- abadilishe tabia zake. Hii ndiyo Groundhog Day, ni moja ya movie bora sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom