Mind Bending| Blowing Movies| Series| Special Thread.

Another filmmaker who produces films which are mind-f*cks is writter and director M. Night Shyamalan, huju jamaa ni mhindi anayefanya kazi hollywood, napenda sana uandishi wake and his directing style, his filmography imejaa movie ambazo zina muunganiko wa simple drama, science and a supernatural aspect.

My second favourite movie from him is "The Sixth Sense"(1999) sitaki kuielezea sana nitamaliza utamu but ninachoweza kusema ni kwamba it's definitely a mind-f*ck and it has one the best plot-twist of all time, you can't see it coming.

First favourite movie from him is "Unbreakable"(2000), inahusu people who believe they're special, they believe they have supernatural abilities.
It's an interesting topic in my opinion, kwasababu in real life they're people who actually believe they have supernatural powers, na jinsi alivoitengeneza it's somehow 100% believable, kwasababu haina mambo ya ajabu or some crazy edits and visual effects kama za movie za marvel or DC, it's a very simple movie with a very interesting story.

"Unbreakable" ina sequels ambazo ni "Split"(2016) and "Glass"(2019) also written and directed by M. Night Shyamalan, "Split" and "Glass" are good but not as good as "Unbreakable", "Unbreakable" is very captivating and intriguing, something to see for yourself.

Talking about greatest mind-blowing movies, "Unbreakable" is an all-timer for me.
Niliikubali sana "The Sixth Sense" ambayo kwako umeiweka nafasi ya pili. Hii iliyoshika nafasi ya kwanza lazima niifuatilie. Hii Unbreakable lazima niiangalie.

Naona hadi sasa na library yangu ya movie inapendeza🤩

Changamoto yangu kubwa nikianza kuangalia filamu za taste hii, huwa napata shida sana kuangalia taste nyingine.
 
Of course, hio changamoto hata mimi inanipata.
 
Ulishawahi angalia filamu ukajikuta una question your reality? una-question everything? Yaani filamu imeilenga akili yako mtazamaji kama ni sehemu ya mchezo. Basi huo ni mfano wa Mind bending/blowing movie.

kwa matumizi ya uzi huu: Mind bending films ni aina ya filamu zenye lengo la kumfanya mtazamaji ajiulize kuhusu mtazamo wake wa kweli. Hii kutokana stori tata zililetwa kupitia filamu, zimewasilishwa katika mfulilizo tata au dhana zenye kufikirisha(thought provoking concepts) .

Ni filamu zinazoweza kukuacha ukijiuliza uelewa wako wa stori katika filamu, wahusika hata kujiuliza uwepo wako duniani(Nature of existence )

Japo zinaweza kuwa na athari kiakili au kisaikolojia either kwa kujenga au kubomoa, lakini kwangu hii aina ya filamu ni bora sana. Nazipenda sana.

Hii ndiyo kumi yangu bora kabisa katika aina hii ya filamu. (Huku mtayarishaji(director/producer) wangu bora zaidi akiwa ni Christopher Nolan.

N.B. Katika list hii nitajitahidi nisitaje majina ya wahusika endapo nitaelezea concept ya movie, au kuelezea matukio (plot) yanayotoa majibu ya filamu. Sitaki kuwaharibia wale ambao hawajaziona, kila mtu lazima afikirie na ndiyo radha ya aina ya movie hizi . Bila kusahau, aina hizi za movie nyingi ni mfano wa Sci-fi (Science fiction) Mystery au Thriller, japo pia kuna drama.

1. Inception(2010)
Hii ni moja ya filamu yangu bora ya muda wote si tu kwenye hii category, bali kwenye categories zote. Idea kuu ya hii movie ni Inception (A dream sharing technology). Kwa lugha rahisi ni uwezo wa kuhack mind (sub-conscious mind) ili kuiba au kupandikiza idea kupitia ndoto, wao wanaamini ndoto zinaweza kutengenezwa, kuwa manipulated(kupotoshwa)na kuwa shared.
Kwanini ndoto? Jamaa wanasema wakati tumelala, tunaota, ni wakati ambao akili zetu ni dhaifu zaidi, ndio maana unaweza ukaota mambo ya hovyo, nje ya maadili, ya ajabu ajabu ambayo huwezi hata kufikiria wakati akili yako ipo active. Hivyo hapo ndipo wataingia kufanya kazi yao. Huku ikichagizwa na dhana ya ndoto ndani ya ndoto. (Dreams within a dream). Narudia tena, hii movie sio ya kukosa kuangalia.

My favourate line: Our dreams feel real while we're in them. It's only when we wake we realize things were strange".

2. Shutter Island(2010)
What a perfect movie. Ni movie yenye "plot twisting" bora zaidi. Hii ni movie ambayo ukifika plot ya mwisho lazima uwe suprised na u-scream "Oh Noo, Nilikua nafikiria nini?

Naogopa ku-spoil kwa wale ambao hawajaangalia. Ila concept kubwa ni ya kisaikolojia, kuwa Guilty (hatia) and Grief (majonzi/uchungi) ni moja ya sababu kubwa ya afya ya akili kwa wengi. Watu wengi wanavurugika kiakili(kuchanganyikiwa) au kuishi kama wanyama sababu kuu zikiwa ni hizo.

Jamaa anataka ku-move on kutoka kwenye guilty ya kumuua mke wake ambaye aliiua watoto wake.(Hili tukio lilitaka kunitoa machozi, yaani unampenda sana babe wako, lakini bahati mbaya hayupo sawa kiakili, daah acha tu).
Kufuatia tukio hilo, ili a-scape from reality akatengeza dunia yake kichwani(delusion world) ya kusema yeye ni hero, wala hajafanya maujaji ya mke wake. Hivyo basi atakua anapambana na waovu na atalipiza kisasi kwa wale ambao wamefanya mauaji ya familia yake akiwemo mke wake.

My favourate line: Which would be worse: To live as a monster, or to die as a good man?

3. The Matrix (1999)
Hii ndio Matrix bora zaidi katika huu mfululizo wa Matrix. Hii imefanya watu waamini hii dunia ni mfano wa Matrix, ndio maana Influencer wengi wanasema "Escape from Matrix" , wakimaanisha kuwa hii dunia ipo controlled na watu fulani, unafanya wao wanachotaka ufanye, unaona kile wanachotaka uone. So jitahidi kuondoka katika huo mfumo.

Hii movie kwa ufupi, imebeba theory na dhana zifuatazo, Stimulation theory: Kuwa binadamu tunaishi katika false reality ambayo imetengenezwa na Intelligent machine. Huku ikachagizwa na uwezekano wa kutengeza Powerful AI huko mbeleni ambayo inawezatawala dunia. Pia imebeba mengine mengi yanaondana na ukweli na jinsi tunavyoitazama dunia, uwepo wetu, free will and search for meaning katika dunia iliyojaa mambo mengi.

My favourate line: I don't like the idea that I am not in control of my life.

4. The Truman Show(1998)
Japo imebeba baadhi idea za matrix, ila hii ni nyepesi sana kuielewa. Ni kama comedy fulani lakini ni kali sana. Ila imeongeza kuonesha future ya film industry.

My favourate line:
Good morning, and in case I don’t see ya, good afternoon, good evening, and goodnight!. Haha😂
Naomba niongeze hii ambayo ina maana sana katika movie hii na kile nilichokisema hapo juu:
"We all accept the reality of the world with which we’re presented. It’s as simple as that"

5. Interstellar(2014)

Hii kwangu sio Science fiction movie, ila Sci-fact movie (Scientific movie). Hii movie imeelezea principle nyingi za kisayansi, ikiwemo ile "Time dilation" ambayo ni matokeo ya theory ya Einstein "Theory of relativity". Ila kwenye movie kuna mengi , Sacrifice, Love and humanity.

My favorate line: We count these moments. These moments when we dare to aim higher, to break barriers, to reach for the stars, to make the unknown known. We count these moments as our proudest achievements.

6. Fightclub(1999)
Wakati naandika hapa basi naenda kuvunja sheria za fight club ambazo ni: The first rule of Fight Club is you do not talk about Fight Club.The second rule of Fight Club is you do not talk about Fight Club. (Hupaswi kuizungumzia kabisa).
Lakini hii picha ina ujumbe mkubwa sana unahusisha maisha ya sasa, kuanzia mfano kazi au mali tunazomiliki zinaweza kutupumbaza na kuwa sisi ni bora sana, au kwa wale ambao hawana basi hujiona hawana thamani tena kwa kushindwa kufika matarajio hayo ya jamii. So inafundisha kila mtu awe na tafsiri yake ya kile kinachompa furaha au chenye maana au thamani kwake.

My favourate line: I say never be complete. Stop being perfect. I say let's evolve, let the chips fall where they may.

7. Memento(2000)
Kutokana na kumbukumbu za maumivu makali mara kwa mara, sometimes tunatamani tuweze kusahau haraka lakini inashindikana.

Ila hii ni tofauti kwa kiijana Leonard wa Memento, yeye kila baada ya dakika 15 anasahau kipi alifanya, sometimes wapi anaelekea na lengo la kuwa hapo, yaani we acha tu.Pamoja na kuwa na changamoto hiyo, katika filamu hii anajukumu la kumtafuta jamaa aliyembaka na kumuua mke wake. Atafanya nini? Kipi kitatokea? Nenda kaicheki hii movie.

My favourate line: Memory can change the shape of a room; it can change the color of a car. And memories can be distorted. They’re just an interpretation, they’re not a record, and they’re irrelevant if you have the facts.

8. The Prestige(2006)
Wale watu wa mazingaombwe(Magics), assume una trick yako ya maana, itakayokupa umaarufu mkubwa, then aliyekuwa mshikaji wako anatibua tricks zako kwenye show yako. Tena jamaa wapo tayari ku-sacrifice kila kitu ili mradi waharibiane.

My favourate line: Never show anyone. They’ll beg you and they’ll flatter you for the secret, but as soon as you give it up… you’ll be nothing to them.

9. The Arrival (2016).
Hapa kuna dada, ambaye ni mtaalamu wa lugha, amepewa kazi na serikali baada ya Aliens kushuka duniani. Anataka kujua wamekuja kufanya nini? Lengo lao kuu ni nini? Lakini changamoto anayokutana nayo ni lugha ya Aliens, yaani ni ngumu na hakuna binadamu anaweza tafsiri.

My favourate line: "If you could see your whole life from start to finish, would you change things?

10. Dark Series| 1889 series

(Nitarudi kuzipa maelezo kidogo na kuthibitisha kama ni kweli zinafaa kuingia kwenye hii top ten(10), ila nimeanza kuzipenda japo kutokana na muda sijazimaliza bado.

Unaweza kuweka na wewe Top 5 - 20 ya aina hii ya filamu.

Niwatakie weekend njema.​
BREAK AWAY FROM THE MATRIX!
 
The Matrix 1999

AI kitambo 1999 hapo kabla ya AI namaanisha haya ma Bald sijui Google Ai na makitu mengine Ila movie ishatoka predicted future,
 
Ila kuna sci fi moja niliiona kwa jamaa sikuijua jina Ila ni bonge la movie inafikirisha balaa sikuwahi kuiona popote na sijawahi kuiona tangu pale hadi nahisi ni ndoto Ila ni movie niliiona kweli na jamàa kahama siwezi tena kuipata au kuiona ile movie ni bonge moja la movie nadhani ni zaidi ya Matrix jina silijui maana jamaa alikua ananionyesha km trailer tu nikasema nitaichukua sikufanikiwa kuichukua wala kuiona jina silijui image za movie zimebakia kichwani
 
Hizi app ziko play store ama zinapatikanaje!?
Screenshot_20231107_120802_com.huawei.android.launcher.jpg
 
Ila kuna sci fi moja niliiona kwa jamaa sikuijua jina Ila ni bonge la movie inafikirisha balaa sikuwahi kuiona popote na sijawahi kuiona tangu pale hadi nahisi ni ndoto Ila ni movie niliiona kweli na jamàa kahama siwezi tena kuipata au kuiona ile movie ni bonge moja la movie nadhani ni zaidi ya Matrix jina silijui maana jamaa alikua ananionyesha km trailer tu nikasema nitaichukua sikufanikiwa kuichukua wala kuiona jina silijui image za movie zimebakia kichwani
Jaribu kutoa concept au maelezeo/review au concept kidogo kupitia hiyo trailer, Lazima utapata mdau wa kusaidia kupata jina la hiyo filamu.
 
Another filmmaker who produces films which are mind-f*cks is writter and director M. Night Shyamalan, huju jamaa ni mhindi anayefanya kazi hollywood, napenda sana uandishi wake and his directing style, his filmography imejaa movie ambazo zina muunganiko wa simple drama, science and a supernatural aspect.

My second favourite movie from him is "The Sixth Sense"(1999) sitaki kuielezea sana nitamaliza utamu but ninachoweza kusema ni kwamba it's definitely a mind-f*ck and it has one the best plot-twist of all time, you can't see it coming.

First favourite movie from him is "Unbreakable"(2000), inahusu people who believe they're special, they believe they have supernatural abilities.
It's an interesting topic in my opinion, kwasababu in real life they're people who actually believe they have supernatural powers, na jinsi alivoitengeneza it's somehow 100% believable, kwasababu haina mambo ya ajabu or some crazy edits and visual effects kama za movie za marvel or DC, it's a very simple movie with a very interesting story.

"Unbreakable" ina sequels ambazo ni "Split"(2016) and "Glass"(2019) also written and directed by M. Night Shyamalan, "Split" and "Glass" are good but not as good as "Unbreakable", "Unbreakable" is very captivating and intriguing, something to see for yourself.

Talking about greatest mind-blowing movies, "Unbreakable" is an all-timer for me.
M. Night Shyamalan ana movie nyingine kali inaitwa Signs. Ingawa baadhi ya movies alizotoa baadaye kama The Last Airbender, The Village na Lady In The Water. zili-flop. Baadaye alirudi na Split na Glass ambazo zili-hit.
 
Inception haieleweki. TENET ndiyo kabisa haieleweki. Kuchamba kwingi sana zile movies. The Matrix safi, wanasema The Matrix siyo movie ni documentary. Kama uliicheki zamani nashauri ukaicheki tena.
Thats the idea mkuu, ndo maana mleta uzi akasema MIND BENDING/BLOWING MOVIES.Unatakiwa utulie ndo ucheki movie uielewe. Sio kama hiyo Sissu sijui Susso alotaja mdau juu huko, what a waste of 2hours

We live a twilight world
 
PROTAGONIST:Hey!(Neil turns)You never did tell me who recruited you.

NEIL(smiles): Haven’t you guessed by now? You did. Just not when you thought. You have a future in the past. Years ago for me. Years from now for you.

PROTAGONIST
You’ve known me for years?

NEIL:(nods).For me, I think this is the end of a beautiful friendship.

PROTAGONIST:But for me it’s just the beginning?

NEIL:And we get up to some stuff. You’re
gonna love it. You’ll see. Thiswhole operation is a temporal pincer.

PROTAGONIST:Whose?

NEIL:Yours. You’re only halfway there. I’ll see you at the beginning, friend.

View: https://youtu.be/gbO6X_aCxDE?si=uLqUEumKO-76U8jj
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom