Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,477
- 5,036
Leo nilikuwa sehemu tukifanya jambo flani hivi,sasa ukaibuka ubishi mkubwa sana juu ya umiliki wa hii minara,makundi yaligawanyika
01:Kundi la kwanza lilikuwa linasema minara ni mali ya kampuni ya simu husika,eg tigo hujenga wao minara yao kwa shughuli zao.
02:Kundi la pili husema kwamba minara ni kampuni ambayo inajitegemea isipokuwa wanaojenga hiyo minara huwakodishia wenye makapuni ya simu eg airtel nk.
Sasa mm nimeona ngoja nije niulize huku,maana JF shule tosha ya kupata majibu ya swali husika,tushirikiane kwenye hili ili tuweze kupata majibu mujarabu kabisa kwa wale ambao wenye A,B,C za hichi kitu.
Nawasilisha

binafsi sijui na huwa nadhani ni kampuni husika hutoa tenda kwa kampuni za ujenzi minara ya mawasiliano.