mosabiy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,521
- 1,932
Yes, mfano mradi/mikakati wa mawasiliano kwa wote.Kuna minara inayomilikiwa na makampuni ya simu 100% na mingine imejengwa kwa ushirikiano wa serikari na kampuni za simu.

Ufafanuzi mujarabu kabisa, mpaka vituo vya Radio za fm nafikiri pia vinajiweka katika minara hiyohiyo, hivyo ni kweli makampuni hushea minara (site) labda huwa masafa yao ndio yanayowatofautisha..Kimsingi wote wako sahihi ingawa si sahihi sana.
Zamani kila kampuni ya mawasiliano ilikuwa inajenga minara yake yenyewe lakini baada ya mwaka 2010 (sikumbuki mwaka exactly) kampuni ya Helios Towers Tanzania (HTT) iliingia mkataba wa kununua na kumiliki minara yote iliyokuwa ya Vodacom na Tigo na minara mingine pia waliendelea kujenga na kupandiana hayo makampuni pamoja na mengine yanayohusu huduma yao.
Baada ya hapo makampuni ya haya nayo yalijenga minara yake yenyewe na mingine ilijengwa kwa kushirikiana na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (USCAF) huu mfuko unashirikiana na Makampuni yote ya simu ikiwemo TTCL, Airtel, Tigo, Vodacom, Zantel including Halotel.
Hivyo kwa shares ya minara iliyopo nchini mingi inamilikiwa na HTT, Airtel (hawa hawakuuza minara yao), Halotel (hawa nao walijenga minara yao, viminara fulani virefu hivi vyembamba), Zantel (hawa nao hawakuuza), TTCL na michache ya Vodacom na Tigo na mingine inayomilikiwa na kampuni husika kwa kushirikiana na USCAF.
NB. Mnara mmoja unaweza kutumia na kampuni zaidi ya moja kwa kitu ambacho wenyewe wanaita site sharing na kimsingi kinachokuwa shared ni huo mnara, power, saa nyingine na transmission links zinakuwa shared.
wewe uko kundi gani? unajua gharama za mnara mmoja...
nani afanye biashara kichaa kujenga mnara bila kujua nani wa kumkodisha....
minara ni ya makampuni husika...
Asilimia kubwa minara imenunuliwa na kampuni kubwa kutoka kwenye mitandao ya simu. Kupunguza gharama za uendeshaji. Nadhan Herios ndo wamiliki wa asilimia kubwa kwa sasa.Leo nilikuwa sehemu tukifanya jambo flani hivi,sasa ukaibuka ubishi mkubwa sana juu ya umiliki wa hii minara,makundi yaligawanyika
01:Kundi la kwanza lilikuwa linasema minara ni mali ya kampuni ya simu husika,eg tigo hujenga wao minara yao kwa shughuli zao.
02:Kundi la pili husema kwamba minara ni kampuni ambayo inajitegemea isipokuwa wanaojenga hiyo minara huwakodishia wenye makapuni ya simu eg airtel nk.
Sasa mm nimeona ngoja nije niulize huku,maana JF shule tosha ya kupata majibu ya swali husika,tushirikiane kwenye hili ili tuweze kupata majibu mujarabu kabisa kwa wale ambao wenye A,B,C za hichi kitu.
Nawasilisha
ulikunywa nini jana?Kuna minara mingine inamilikiwa na TFF
Nlikunywa Ugali maharage ndugu.ulikunywa nini jana?
Thread closed. Jibu lako linahitimisha thread hii.Kimsingi wote wako sahihi ingawa si sahihi sana.
Zamani kila kampuni ya mawasiliano ilikuwa inajenga minara yake yenyewe lakini baada ya mwaka 2010 (sikumbuki mwaka exactly) kampuni ya Helios Towers Tanzania (HTT) iliingia mkataba wa kununua na kumiliki minara yote iliyokuwa ya Vodacom na Tigo na minara mingine pia waliendelea kujenga na kupandiana hayo makampuni pamoja na mengine yanayohusu huduma yao.
Baada ya hapo makampuni ya haya nayo yalijenga minara yake yenyewe na mingine ilijengwa kwa kushirikiana na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (USCAF) huu mfuko unashirikiana na Makampuni yote ya simu ikiwemo TTCL, Airtel, Tigo, Vodacom, Zantel including Halotel.
Hivyo kwa shares ya minara iliyopo nchini mingi inamilikiwa na HTT, Airtel (hawa hawakuuza minara yao), Halotel (hawa nao walijenga minara yao, viminara fulani virefu hivi vyembamba), Zantel (hawa nao hawakuuza), TTCL na michache ya Vodacom na Tigo na mingine inayomilikiwa na kampuni husika kwa kushirikiana na USCAF.
NB. Mnara mmoja unaweza kutumia na kampuni zaidi ya moja kwa kitu ambacho wenyewe wanaita site sharing na kimsingi kinachokuwa shared ni huo mnara, power, saa nyingine na transmission links zinakuwa shared.
Basi leo nitawapelekea haya maoni juu ya hii minara,nakumbuka mwaka 2004 morogoro kulijengwa mnara wa kwanza kabisa na mnara huo ulikuwa unatoa huduma kwa celtel kwa kipindi hicho,lakini baaada ya miaka kadhaa nashangaa zantel kuanza kupatikana ndio watu wakabaki na maswali mengi.Thread closed. Jibu lako linahitimisha thread hii.
Ipo hivi..Leo nilikuwa sehemu tukifanya jambo flani hivi,sasa ukaibuka ubishi mkubwa sana juu ya umiliki wa hii minara,makundi yaligawanyika
01:Kundi la kwanza lilikuwa linasema minara ni mali ya kampuni ya simu husika,eg tigo hujenga wao minara yao kwa shughuli zao.
02:Kundi la pili husema kwamba minara ni kampuni ambayo inajitegemea isipokuwa wanaojenga hiyo minara huwakodishia wenye makapuni ya simu eg airtel nk.
Sasa mm nimeona ngoja nije niulize huku,maana JF shule tosha ya kupata majibu ya swali husika,tushirikiane kwenye hili ili tuweze kupata majibu mujarabu kabisa kwa wale ambao wenye A,B,C za hichi kitu.
Nawasilisha
Namba 2 ipo sahihi...kampuni flani ya Helios towers ndo mmiliki wa baadhi ya minara ambayo hupangishwa kwa kampuni za simu.Leo nilikuwa sehemu tukifanya jambo flani hivi,sasa ukaibuka ubishi mkubwa sana juu ya umiliki wa hii minara,makundi yaligawanyika
01:Kundi la kwanza lilikuwa linasema minara ni mali ya kampuni ya simu husika,eg tigo hujenga wao minara yao kwa shughuli zao.
02:Kundi la pili husema kwamba minara ni kampuni ambayo inajitegemea isipokuwa wanaojenga hiyo minara huwakodishia wenye makapuni ya simu eg airtel nk.
Sasa mm nimeona ngoja nije niulize huku,maana JF shule tosha ya kupata majibu ya swali husika,tushirikiane kwenye hili ili tuweze kupata majibu mujarabu kabisa kwa wale ambao wenye A,B,C za hichi kitu.
Nawasilisha
Na sasa HTT wamechukua hadi minara ya Halotel na Zantel.Ipo hivi..
Siku za nyuma, kila kampuni ilikuwa inajenga minara yake. Kilichokuwa kinatokea, wengine waliamua kupangushana.. Mfano, Tigo anaweza akapanga kwa airtel au voda akachukuwa GROUND SPACE anayoweka vifaa vyake ANACHAJIWA, TOWER SPACE anayoweka vifaa vyake anachajiwa na mwisho POWER (umeme) atakaotumiwa anachajiwa. Mpangajia anaweza akaweka umeme RECTIFIER YAKE AU AKATUMIA RECTIFIER YA MWENYE MNARA... Hali hii ilikuwa kwa TTCL vile vile... airtel wameshapanga sana TTCL kwa mfano UTETE, LUGOBA, Tunduru etc..
Baadaye ikaja kampuni ya HELIOS TOWERS, hawa jamaa wakanunua baadhi ya minara ya VODA na TIGO.... Then TIGO na VODA wakageuka kuwa wapangaji. HIVYO kwa mantiki hii, mmiliki wa baadhi ya minara ya VODA na TIGO ni HTT (Helios Towers Tanzania) . Kwa Airtel, ilikuja kampuni inaitwa AMERICAN TOWERS ili wainunue minara yao, nao wafanye kama HTT kwa VODA na TIGO. Shida ikawa shares za serikali zilizoko AIRTEL. Kwa maana hiyo, Minara ya Airtel bado inamilikiwa na airtel mpaka hilo tatizo litakapotatuliwa.
ALL in ALL, Tower sharing ndo inaendelea, isipokuwa nikionacho kama ni shida kwa hii sharing, NI TOWER LOADING. Wakati kila kampuni inajenga minara yake sijui kama ilipiga hesabu ya idadi kubwa ya madishi yanayoweza kuifanya tower iendelee kuhimili WIND AND OTHER LOADS. Kule Bunda, mnara wa TIGO ulishawahi kuanguka huku ukiwa na madishi ya TIGO pekee... SASA mnara kama huo, ukiubebesha madishi ya VODA, TIGO, AIRTEL, ZANTEL na makampuni ya TV na redio tegemea disaster
Ngali K
Unacho sema ni kwel ila kabla ya kufunga vifaa vya minara kama antenna kuna hesabu ufanyika kama interference ,wind ,load na coverage yakeIpo hivi..

mnara wangu naumiliki me mwenyewe, na mke wangu nae anaruhusiwa kuushika-shika.
wew sio mzima kabisaHaki ya mama wewe sio mzimaMnara wa tigo unamilikiwa na mke wangu
Mnara Aitel unamilikiwa na BlackPanther.

Watchtower, Jehova WitnessMnara wa mlinzi
Kwa mafafanuzi haya Mkuu nadhani ata wale waliolala kwenye taputapu wameelewa. #Shukrani.Kimsingi wote wako sahihi ingawa si sahihi sana.