modern marriage ndio zilivyo Mamdenyi
ni kukubali tu yaishe,
mama aliyekuzaa ndiye wa pekee yake
hao wengine wanagawanyika tu hivyo hivyo bora maisha yaende.
Hadi analia..hahahahah
Okhujaona mwenyew kasema alikua ananitaka wakat shetani yuko kichwani kwake ati
Heshima yako ma'kweheeeee hata ndoa bado unaanza kupeleka ripoti za ugoni kwa baba mkwe,
lwako mie sipo lakini.
Ok
Shaijua dawa yake usijali...au na wewe ulikua unataka!! teh teh
heeeee hata ndoa bado unaanza kupeleka ripoti za ugoni kwa baba mkwe,
lwako mie sipo lakini.