baada ya msoto wa mda mrefu natangaza rasmi
kuanzia leo ni mimi na mimisa tu,naomba msimsumbue my baby, niachen nijilie vyangu
i love u so much mimisa
Is it confirmed?
Hawa ninawajua vema hawaniumizi kichwa...mi nawahofia wake wenzio akina Kipipi Remmy (wa zamani) na wenzao.
lov u too darl!
Lol...!missed u so much baby!
Lol...!
hahaha duka lipo wapi mkuu
Mtaa wa Samora...JM Mall
Mpaka mimisa atavvotia maguu hapa ndo nitaamini
congratsconfirmed!..