mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
asante ma mkwe
nimekusamehe karibu sana nyumbani mkwe.
nimekusamehe karibu sana nyumbani mkwe.
Thanteeasante sana
karibu mkwe
baada ya msoto wa mda mrefu natangaza rasmi
kuanzia leo ni mimi na mimisa tu,naomba msimsumbue my baby, niachen nijilie vyangu
i love u so much mimisa
baada ya msoto wa mda mrefu natangaza rasmi
kuanzia leo ni mimi na mimisa tu,naomba msimsumbue my baby, niachen nijilie vyangu
i love u so much mimisa
jina refu linaonyesha hata mambo yangu ni marefu
Unasemaje shemeji?????????
umepata mke mzuri,
mke anajua kuomba msamaha, loooooooh
kweli umepata, all the best.
kaka mmepima HIV? kama bado naomba mnione
Haiwezekani duka langu lidorore wkt kumbe waoaji bado hawajaisha...
MMH naogopa sindano
hahahaa! Si useme tu unaogopa majibu?
doctor majb hayanitish labda tukapime choo,
nishalazwa hospitali kwa malaria kali kisa nilikimbia sindano,mambo ya kutoboana siyataki,
ila kuwatoboa wenzangu nipo mstari wa mbele
sasa nitakupimaje jamani? mkifanya mchezo hamtafunga ndoa hivyoo... Labda mfungie bomani
naishia hapa hapa
kwaheri
loh! doctor nae mkali
basi utanipa nusu kaputi kabla ya kunichoma sindano uuwiiii