hehehehehe kumbe ni prezidaaaaaa yayayayaya usimwambie basi kuwa moyo wangu ulikudondokea! plz nakuomba jamani, asije akanisweka rumande forever! aisee nimekosa mm jamani, yaaani nimethubutu kumdondoleshea first lady moyo!?ninaye ndiyo!!!! Na ni raisi wenu mtarajiwa wa 2015
hehehehehe kumbe ni prezidaaaaaa yayayayaya usimwambie basi kuwa moyo wangu ulikudondokea! plz nakuomba jamani, asije akanisweka rumande forever! aisee nimekosa mm jamani, yaaani nimethubutu kumdondoleshea first lady moyo!?
copy aione shem wangu Arushaone
ndiyo ukome, si unajua ukiudondosha moyo kwenye moto mkali inakuwaje???
wahi hospitali wewe
huu ni ugonjwa hatari sana, unaosababishwa na virus waitwao Eyes, ambao huingia kwenye ubongo na kusababisha ugonjwa wa cerebral love ambao hupeleka maambukizi mpaka kwenye moyo kupitia blood vessels na kusababisha mishipa ya moyo kuachia na hatimaye moyo kudondoka
Mutu ya arusha nawaogopa sana, wanashinda kata 4 mbele ya ccm! mm sitaki tena moyo wangu umdondokee Lady doctor!
sa hivi niko makini!!!!!
ya kwa UNDENIABLE hayawezi kujirudia