Mimi, wewe na wengineo...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
....huyo namba nne hapo toka kushoto inaonekana anapata burudani kinyama!
 

Attachments

  • IMG-20120524-WA0001.jpg
    IMG-20120524-WA0001.jpg
    77.9 KB · Views: 142
mwenye t shirt nyeusi ana kaswende,ona anavyo umia.
 
Hii ni balaa
Wakitoka hapo majani yote yamekauka
Maana mwingine mkojo wote ni bia tupu au konyagi au kiroba au gongo
Kwani waliambiana kuwa sasa ni saa ya kuchimba dawa
 
Back
Top Bottom