muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,604
Mie huwa nasoma thread nyingi tu humu na zinazolalamika lalamika kuhusu mambo ya ndoa ni za kutunga tena kutoka kwa watu wasio kwenye ndoa (with zero marriage experience)! Wanatunga tunga tu na kupotoshana hawajui ya kuwa elimu na uwezo wa kifedha kwa wanandoa wengi kunafanya wanandoa wapate maendeleo yao kwa haraka na hata pia wapigane jeki pindi mmoja wapo anapo kwana! Na ili kuwezesha hili ni lazima mtu apate mwenza aliye husband/wife material!umeona eehhh...kuna watu wana feel good kuanzisha story za kupinga kundi fulani...
kumbe hata ya jana ilikuwa mazungumzo baada ya habari,,,
Hata waje na thread mia ndio tumeshaolewa na ma PhD yetu na haachiki mtu...
Si umesema wew una certificate???😕😕unamaanisha utanivuta kama shisha??.......alafu ndoa ina miez mitatu tuuuu..........cc: Tyta hebu nisaidie nyuzi za huyu baba certificate
hhahah...time will tell....Back to reality!!Acha hizo basi BTW hamna nyuzi zangu zinazonifunga
[MENTION=166342]@brenda18 mi nikiona tu hiyo miguu yako namsahau mke
Yako mizuri zaidi
cute datty mmmh nishauri basiViol kweli lkn nisije nikashusha ushauri wa busara hapa kumbe bado upo upo hata huyo wife to be hajazaliwa bado.
Awe na elimu, asiwe na elimu, mwanamke akikutana na mwanaume wa ukweli atatulia tu, na atasikiliza mwanaume anavyotaka.
Elimu yake na kazi kazi yake zitatawala nje ya nyumba, akiingia ndani tu, lazima atajua kaingia kwa mume wake, hata kama hiyo nyumba ni mali yake. Tatizo wanaume wa ukweli tupo wachache sana.
cute datty mmmh nishauri basi