Mimi vs Mke wangu=malaika vs shetani


Mkuu mimi niliona mbali siku nyingi wanawake wasomi wasumbufu sana nipo na wa form 4 hapa maisha ni matamuje!!? Pole ssana mbaba
 
Mkuu mimi niliona mbali siku nyingi wanawake wasomi wasumbufu sana nipo na wa form 4 hapa maisha ni matamuje!!? Pole ssana mbaba

mshukuru Mungu umepata mke mwema na wala siyo swala la kuwa yeye ni form iv.....
 
Wewe Africa moto!!! Moto!!!!

Sidhani kama umeoa......

Anyway tufanye kama hatujui.kuwa hii ni chai, je wakati umeoa hukuyajua yote hayo yote???

Au vigezo vilikuwa kufuliwa????
 
Kuoa msomi ni sharti kukutana na changamoto nyingi zaidi na yule msomi wa drsa la 7 na iv
 
viol, nahisi unakosea sana kuleta haya mambo humu,,otherwise n utani, if its really serious, then thisn is not the right place, ask me why
 
Pole sana mkuu, chana vyeti vyake vyote.
 
ndoa kazi sana....mi mama watoto kanuna toka juzi bila sababu...muda huu nimetoka kutundika konyagi zangu nikamkuta jikoni anapika,nilichofanya nimemkumbatia kwa nyuma nikampa busu na mida hii nipo sebuleni nacheza ba mtoto....ndoa ni stress jamani
 

mwanamke akiwa design kama nikivyokoleza hapo juu huwa wananiboa sana yaan nahisi kibamia changu kinapataga shida tu!!!
 
Wewe Africa moto!!! Moto!!!!

Sidhani kama umeoa......

Anyway tufanye kama hatujui.kuwa hii ni chai, je wakati umeoa hukuyajua yote hayo yote???

Au vigezo vilikuwa kufuliwa????

Kuna sehemu kaandika kuwa vigezo vilikuwa wowowo...SMFH!!
 
kama we una crtfet yy dgree 2 ujue kwamb humu jf ndan yupo na anakuchek tu unavojipanga hv nyumba mnayoish amejenga yy, ww au mmexhilikiana na gari je yan kama amekuzd kuchangia kama 65% apo ndan kila m2 mwanaume au hata kama ni 50% kwa 50% bd zalau zitakuwepo wanawake wenye adabu wachache xana
 
king suleman, eti ndo umeandika nini? Humu JF marufuku kuandika x x kama ulizoandika. Usirudie tena.
 
Last edited by a moderator:
mhh km ni movie bas wee script writer mzur... if not.. pole mways n huyo wako tuu.. wako wasom wanaolewa kila siku
 
Viol ​unanichekesha sana toka jana, leo eti mmepigana mmh aliweazje kukurushia ngumi au ni sarakasi za kitandani? maana ngumi ya mwanaume ni nzito
 
Tuna miezi 3

makubwa miezi3 timbwili zote hizo? ila nakushauri ukiangalia mke wakuoa angalia tabia yake level ya education wala haina effect ni tabia yake tu. kuna mfanya kazi mwenzangu mke wake la saba yeye ana degree lakin timbwili za mkewe ucpime hadi ofisin anasema bora ningeoa mtu alosoma hata akiwa mmbabe kama huyu japo hata angenipunguzia majukumu ya matumiz yake
 

kweli penye miti hakuna wajenzi,eti hapiki? hafui? eti mikucha mirefu? wadada mnatutia aibu usipomfanyia mmeo hayo yote utamfanyia nan? mwaya kama vip chepuka kwa nn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…