Acha hizo basi BTW hamna nyuzi zangu zinazonifunga
Mzee si mchezo..hayo mabastolaMkuu Viol pole sana kwa masaibu.... hivi uliutendea kazi ule uzi kama ulikuwa unasema "wanawake darasa la saba ndio wanao olewa" wengi wanaleta usomi hadi kwenye maisha ya ndoa , sasa huyo anatikisa kiberiti kuona kina njiti ngapi i.e kuona zile theory wanazo fundishwaga kuhusu usawa kati ya me & ke kama zinafanya kazi au la.
Kicheko chako kinanisisimua
Njoo karibu unishtukie zaidi basi
Nenda kwenye mafunzo ya Karate uwe unamwadabisha....
Mbona nabipu namba inaniambia hampatikani nijaribu baadae, nimemuachia maagizo huyo dada uliemuachia simu yako.
Nahitaji dawa ya kifua
huyu dada namfukuza kazi ungemuuliza nimekwenda wapi
maana muda mwengine ni muongo hasa akisikia sauti za wanawake
Dawa ya kifua nitapata....
Ngoja nipige tena