Mimi vs Mke wangu=malaika vs shetani

Miezi mitatu?!... Mitatu tu mpo ivo.....eeeh! Sasa umeoa au umeolewa? Inamaana umemua tayar ana mtoto wako au?

Mtoto nilimpa kabla sijamwoa
 
Mtoto nilimpa kabla sijamwoa

Daah Pole weeh... Huyo alikuwa hajamaliza kula ujana unampeleka kwenye umama... Waswahili wanasema bora ukosee kujenga nyumba lkn sio ukosee kuoa mke! Ila enda nae pole pole yataisha... Mke na ndoa ni hatua na jambo LA baraka sana.. Pole mkuuu
 
Apo mwanzo ulipomuoa hukuona haya makosa, isijekua wamuonea bure, mwanamke anapokua na matatizo hawezi kuhimili stress zake, sehemu yoyote yeye hufanya kinachomkalia mbele,
Kaa ufikiri wewe ndio mwanaume, usitegemee mwanamke akufanye wewe kua na furaha bila ya wewe kumfahamisha
 


mkuu viol,nina wasiwasi kama ni kweli haya yanakukuta basi kama ni kweli then take from me,a man has to do what a man has to do.be a man and never forget your manhood.
 
Better being single forever than Umaga and Johncena in Marriage
 

Attachments

  • 1413039195570.jpg
    16.4 KB · Views: 140
He he he kwani umejuaje sina degree?we haya nitakuvuta kama shish

Si umesema wew una certificate???😕😕unamaanisha utanivuta kama shisha??.......alafu ndoa ina miez mitatu tuuuu..........cc: Tyta hebu nisaidie nyuzi za huyu baba certificate
 
Last edited by a moderator:
Si umesema wew una certificate???😕😕unamaanisha utanivuta kama shisha??.......alafu ndoa ina miez mitatu tuuuu..........cc: Tyta hebu nisaidie nyuzi za huyu baba certificate

Acha hizo basi BTW hamna nyuzi zangu zinazonifunga
 
Last edited by a moderator:
Ni sheedah
Ila tatizo huwa mwawaokota club hao wanawake. Ukifata steps.
Dating, Courtship, Marriage lazima utajua udhaifu wake.
Mnapenda makalio ndo maana mkiwaoa wanashindwa wapikia
 
Koh koh koh....

karibu MO11 herbal clinic
tunapima
kikohozi kikali
ukimwi
kifua kikuu
kubanja
dawa bure kutolewa kwa malipo kama ya bure pia tunatoa ushuri na saha
pia tunatoa huduma za mazishi na sanda pamoja na kuuza majeneza
kwa malelezo zaidi
wasiliana na dr MO11 kwa namba zifuatazo 112 ukibipu tutakupigia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…