CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
- Thread starter
- #21
kwa njia ya posta itachakachuliwa.. naileta mwenyewe
Tuma kwa DHL....
kwa njia ya posta itachakachuliwa.. naileta mwenyewe
Pole mwaya. Unataka ujauzito?
Mie sina, yaan nawaoneaje gere!!
Mie sina, yaan nawaoneaje gere!!
Tuma kwa DHL....
kwahiyo unataka mimba wewe njoo nikupe basi bureeee JrNasema hivi, imetokea sijui ni kwa bahati mbaya au nzuuri...
Marafiki zangu wapatao 7 wana mimba...
Hapo umeelewa au bado???
Poleni kwa mihangaiko ya siku ya leo wana CC...
Mwenzenu marafiki zangu sijui waliambizana???
Yaan marafiki zangu wapatao saba (7) ni wajawazito, ngoja niwataje kihivi...
1. Da' KJ
2. Da' FR
3. Da' NR
4. Da' NK
5. Da' KC
6. Da' BM
7. Da' RA
Mimi peke yangu nimebaki, mimi
tu, kukuleteeni habari!!!!
Watakuja dear wala usijali,wew jiandae tuu..sasa sijajua utazipokea kwa mtindo upi...!
kumbe mimba. yenyewe ilikuwa sio yangu
charminglady naomba kandarasi ya kukupa ze mimba hata kwa bluetooth.
charminglady nina dawa ya kukufanya uache kuwaonea gere wenzako. Ni PM
nilipo hakuna huduma hiyo... Halafu zilizopo zina gharama kubwa kuliko ya kukupa direct
Wewe si ulitoa wa C6 ,tena wa miezi nane na nusu kisa ulizuzuka na miss chit chat... utaisoma namba,
Hapa..nipo njoo tuchanganye damu zetu! mi nina mixer ya ajabu..cheki nina!, uhaya, unyamwezi, usukuma, uchagga na umakonde, upare na umarekani upo kwa mbaali!! afu changanya na uwewe!!
haya maswala ya uchavushaji kwa njia ya posta au DHL mara kwa bluetooth mara kwa infrared utapata mimba ya ajab ajabu! let me do it natural...
Wala usihangaike.... nizuje hizo.gharama mie ntakutumia pesa kwa Easypesa fastaaaaa...
Hyo pesa itunzwe ili isaidie ujauzito
Umakonde tu ndo.umekuharibia...
Mimba mimba,
mimbaaa mimba hiyo,
mimba mimbaa hiyo mimbaa. x2.