Heri mie sijasema!
Aisee!
Ingekuwa enzi zangu.......siku hizi najiimbia 'nguruwe pita sina mshale'....uzee bana.
we usiseme myn... We njoo tu uchukue virutubisho huku
Bosss ........ Bado tuuuu?
My lawyer sijapata Pm hata moja, mwe ngoja niende love connect na heading "Natafuta wa kunipa :mimba: tu"
Asante, ndiyo!
Poleni kwa mihangaiko ya siku ya leo wana CC...
Mwenzenu marafiki zangu sijui waliambizana???
Yaan marafiki zangu wapatao saba (7) ni wajawazito, ngoja niwataje kihivi...
1. Da' KJ
2. Da' FR
3. Da' NR
4. Da' NK
5. Da' KC
6. Da' BM
7. Da' RA
Mimi peke yangu nimebaki, mimi
tu, kukuleteeni habari!!!!
kumbe unagawa virutubishoo.....
Natamani kupata mtoto...
Ngoja niongee na mama Ngina tuongezepo mtoto mwingine.....
Mficha 'CHIU'hazai!Nasema hivi, imetokea sijui ni kwa bahati mbaya au nzuuri...
Marafiki zangu wapatao 7 wana mimba...
Hapo umeelewa au bado???
Mficha 'CHIU'hazai!
me naweza kukupa